Tafadhali naomba kuelekezwa..

Bryce mziba

Member
Jul 20, 2018
22
8
Heslb wametoa majina ya wanafunz ambao hawajakidhi vigezo vya kupata mkopo..
Mimi pia ni mhanga naambiwa "BC not certified by Rita" ila nilihakiki. sasa Kwenye kuthibitisha( kurekebisha makosa) naweka copy ya cheti kilichohakikiwa chenye muhuri wa rita au kile original...
Msaada tafadhali
 
Umetumiwa wapi hiyo list ya jina lako , inabidi kuprint copy yenye muhuli wa rita , pia ipigwe muhuri wa mahakama.
 
Kwenye system inabidi uweke cheti chenye muhuri , pia upeleke cheti chenye muhuri tatizo nikwamba baadhi wame upload cheti kisichokua na muhuri wa rita japokua wamepeleka hardcopy ya cheti nyenye muhuri
 
Umetumiwa wapi hiyo list ya jina lako , inabidi kuprint copy yenye muhuli wa rita , pia ipigwe muhuri wa mahakama.
Muhuri wa mahakama tena bro. Mana pale kwenye list wameweka "invalid" afu "BC not certified by Rita" vp kuhusu muhuri wa mahakama mkuu
 
Bro kichwa chako kigumu , rita wanapiga muhuri wao unapewa softcopy ya cheti chenye muhuri wa rita then unaprint unaenda mahakama kupigwa muhuri , maana ya kwenda mahakamani kupigwa muhuri ni kwamba ikitokea umepeleka taarifa za uongo serikali iweze kukuchukulia hatua mahakama wao awahakiki walanini wanaweka signature na muhuri then una scan alafu una upload , hardcopy unapeleka HELSB
 
Hii ya mahakamani sijaielewa wao wanasema Rita sasa iweje tena mahakama ???????
Asikuvuluge mahakamani sio lazima we chukua chet chako toa photocopy then ile copy nenda nayo rita watahakiki(watapiga muhur) alf kaambatanishe online
 
Back
Top Bottom