G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,882
Tatizo huyu Sabaya Magufuli alimtoa kwenye vijiwe vya wavuta bhangi. Yani huyu jamaa huwa anavutaga bhangi kama sigara na marafiki zake wakuu ni madereva wa tours. Kwa ufupi ni kiokote wa mtaani na ndiyo maana amekaa kijinga jinga kwenye uongozi. Mtu anapuliza bhangi kama vile anavuta misokoto ya sigara eti naye ni DC na alikuwa ni mtu wa vijiweni usipime.