Leo na mimi acha niwaseme washauri wa raisi, imekuwa ipi wanamueleza raisi kuwa bendera imewekwa hivi karibuni wakati bendera ya Kenya iliwekwa 2019??
Raisi amesema sisi tunalumbana huku jirani wenzetu nao wameenda huko na bendera ikawekwa kama sisi tulivyowekwa.
Ni nani wamemueleza bendera...
Sikuwa na nia ya kuweka uzi, lakini imenibidi niweke ili kutoa hili sikitiko langu. Nimepigwa mshangao kuona majibu ya walimu kwenye baadhi ya mada.
Walimu wanashangaa kuona kuwa kuna mitihani kwenye interview, wao wanajua interview ni mahojiaano tu ya ana kwa ana(oral interview). Hajui kabisa...
Nimegundua watu wengi wana wivu mkubwa sana na Pep, hawataki kukubali. Wameshikilia msimamo wao kuwa anasajili wachezaji wazuri, hapohapo timu zao nao zinasajili wazuri lakini mafanikio hakuna.
Ukiangalia hapo kwenye takwimu, toka Pep aende uingereza Man Utd. na Chelsea wametumia pesa nyingi...
Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikuwa mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi
Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. Kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala...
Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
---
"Watu wengine wanasema mkataba ni wa miaka 100, kwa mujibu wa mkataba huu unaweza kuwa miaka 200, huu mkataba hauna mpaka. Waliosema...
Kuna tatizo kubwa mno kwenye nchi yetu, hasa kutoka kwa viongozi na wanasiasa. Wanapenda kupitia na kila upepo ulio mbele yao.
Nimeona waziri wa michezo akiongea na wachezaji kwa muda mrefu kuwapa sijui hamasa, nimeona pia waziri wa michezo kutoka Zanzibar nae kaongea na wachezaji kuwapa...
Kuna nguvu ilitumika sana kwenye suala la mbolea mwaka jana, nyimbo zilitungwa na sifa ziliimbwa kwa waziri bashe kuhusu mbolea ya ruzuku.
Bashe akasema anataka kumuinua mkulima ndio maana anasaidia wakulima wote wapate mbolea ya ruzuku.
Hafla ya mbolea ya ruzuku kwa wakulima ilifanyika mbeya...
Nimeona mipango ya waziri bashe, mipango imejaa maneno matamu na porojo nyingi. Bahati mbaya wengi hupenda hizi porojo kuliko uhalisia.
Bashe kwenye mipango yake kufikia 2025 wizara imepanga kuwapatia vijana heka milioni 1. Katika hesabu zake bashe anasema kuhudumia heka 1 itagharimu mil 16.7...
Kumeibuka mijadala kuhusu wanawake wa kaskazini na mambo yao katika mahusiano au ndoa. nachoweza kusema yote au mengi ni kweli kabisa........................
Natoa ushuhuda ambavyo imewahi kutokea kwangu. baada ya kusepa bongo, kwenye mishe na magroup ya whatsapp ambayo mengi ni ya shule na...
Makosa ya Sabaya yalikuwa wazi sana kiasi ambacho ilikuwa rahisi kabisa kumfunga kwa kesi yoyote ile iwe ya kutumia madaraka vibaya, uhujumu uchumi, kutumia silaha.
Maswali nayojiuliza ikiwa haya yote yalikuwa wazi na tumeshindwa kumfunga Sabaya mwisho ameachiwa huru, je tutaweza kumfunga...
Kumchafua Magufuli ni jambo gumu sana ambalo limefanywa kwa nguvu kubwa miaka miwili sasa na hakuna mafanikio. Kazi hiyo wamepewa watu wa aina tofauti wenye ushawishi lakini bado imekuwa ngumu.
Magufuli alikuwa wazi kwenye sera zake na wala hakuwa mnafki kama alichukia jambo basi alilionyesha...
Waungwana eeeh hatimaye nimerudi bongo from Norway kwa kujipa likizo ya mwezi mmoja. Hapa katikaki mambo kidogo yalitaka kuwa magumu huko sababu ya Vita hivi vya UA vs RU, Ila nilipambana na kila kitu kikaa sawa.
Baada ya mihangaiko na kuijua vizuri Europe(Norway) na kufanya kila nilichopanga...
Wengi nadhani sio wageni na mimi Per Diem maana kwenye jukwaa la Hoja na Habari mchanganyiko nimekua nikiweka post nyingi za mimi nilivyokuja Norway, maisha ya huku na mambo mengine mbalimbali.
Ila leo hapa navyoandika mada hii ninaumia sana kuona nimetengana rasmi na mpenzi wangu wa muda mrefu...
Ni miezi imepita kidogo toka niwe nawajuza kuhusu Norway, hii ni kutokana na nilikuwa nasoma short course ya mambo ya Ship Surveying, nashukuru nimemaliza.
Kazi za bandari ndio nyingi huku, hivyo ilinibidi kujiongeza ili kujiweka sehemu nzuri zaidi na sio kila mara kuwa kibarua.
Japo najua...
Moja ga jambo kubwa nililojifunza tokea nije huku ni kuwa na nidhamu ya kazi. Watu wengi wana nidhamu kubwa ya kazi.
Mimi pia tokea nipo bongo nilikuwa nna same character kama za watu wa huku hivyo ndio maana inakuwa rahisi kwangu kuishi kwa raha.
Tuachane na hayo, nimerudi Norway nikitokea...
Wiki iliyopita nilileta habari ya kutoka Norway na kuja Malmo kwenye kazi. Wapo waliofurahi na kuniombea heri na wapo ambao walikasirika na kunitukana. Yote sawa.
Nipo huku kwa kazi kama zile nazofanya Norway, vibarua vya bandarini. Nilipewa huu mchongo, faster tu wala sikutaka kujiuliza mara...
Nimekuwa nikiwapa motisha watu wafanye kazi kwa bidii sana, hakuna maajabu katika maisha kama kujituma.
Tokea nimefika huku Norway nimejifunza vitu vingi sana na naendelea kujifunza, naomba watu wasikate tamaa.
Nimekuja Malmo, huku napo ni kikazi zaidi na hii nj kutokana na kujichanganya kwenye...
Nimeona watu wengi sana wakiogopa kazi ambazo ni risk. Lakini wanashindwa kuelewa kuwa kazi ambazo zina risk kubwa ndio zenye pesa nyingi.
Simaanishi huku Norway kazi ambazo hazina risk hazina pesa, hapana. Kwanza kazi zenye pesa ni zile za wale skilled ambazo kwa mhamiaji huwezi kupata...
Moja ya swali ambalo nimeulizwa Sana na wadau humu Ni kuhusu chakula.
Imenibidi nijibu hili kwa kuweka post maana Kuna Mtu amesema yeye amefanya kila aliwezalo kuja na amefanikiwa kwa 90%(anajua mwenyewe kafanyaje) maana yeye ni Mtu anayependa kula na kupiga gambe.
Mimi mwanzo kabisa...
Moja ya vitu ambavyo sikuwahi kukubaliana navyo ni ile dhana ya kusema eti maisha ya Europe ni ya upweke. Upweke unautengeneza mwenyewe tu, ila ukweli ni kuwa maisha ya Ulaya ni mazuri Sana hasa Norway.
Bongo bado Sana, tusiongopeane na kujipa moyo. Anayeweza kuja aje ashuhudie. Na inapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.