Bendera ya Kenya jengo la Burj Khalifa iliwekwa 2019, ni nani amemuongopea Rais wetu kuwa imewekwa karibuni?

Per Diem

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
2,191
3,711
Leo na mimi acha niwaseme washauri wa raisi, imekuwa ipi wanamueleza raisi kuwa bendera imewekwa hivi karibuni wakati bendera ya Kenya iliwekwa 2019??

Raisi amesema sisi tunalumbana huku jirani wenzetu nao wameenda huko na bendera ikawekwa kama sisi tulivyowekwa.

Ni nani wamemueleza bendera imewekwa hivi karibuni? Mmechukua spinning na utani wa mtandaoni wakiwatania wakenya mkahisi ni ya hivi karibuni?

Naamini hili suala kuna waliomshauri mama aligusie bila kujua hili ni la miaka imepita
20230714_183735.jpg
 
Unajuaje kama amedanganywa na sio yeye kuamua kutudanganya?

Hilo halishangazi (politicians ni waongo by nature) Kinachoshangaza ni kwa Rais kuona hii ni Big Deal !??? Yaani kwamba kule ukiweka bendera yako ndio SI Unit ya kufanikiwa ?!!!!

Nakuacha na Qoute ya Obama kuhusu Politicians and Lies
“Politicians have always lied but it used to be if you caught them lying, they’d be like, ‘oh man.’ Now they just keep on lying.”
 
Leo na mimi acha niwaseme washauri wa raisi, imekuwa ipi wanamueleza raisi kuwa bendera imewekwa hivi karibuni wakati bendera ya Kenya iliwekwa 2019?...
Bendera na picha ya Rais wao iliwekwa? malizia basi.

Hata sikuelewi hili linahusiana nini au ni uchungu wa kichawi tu?
 
Back
Top Bottom