Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,191
- 3,711
Nimegundua watu wengi wana wivu mkubwa sana na Pep, hawataki kukubali. Wameshikilia msimamo wao kuwa anasajili wachezaji wazuri, hapohapo timu zao nao zinasajili wazuri lakini mafanikio hakuna.
Ukiangalia hapo kwenye takwimu, toka Pep aende uingereza Man Utd. na Chelsea wametumia pesa nyingi kuliko Man city. Man City pesa waliyotumia inafanana na Arsenal, lakini Pep na City yake wanaambiwa kwa sababu wanatumia pesa nyingi kusajili.
Thomas Partey alikuwa mchezaji muhimu kwa Atletico Madrid kuliko Rodri, leo hii Arsenal wanaachana na Partey. Huku Rodri akizidi kuwa bora. Ingekua vice versa, Pep kamchukua Partey halafu Arsenal wakamchukua Rodri bado kuna watu wangesema Pep anachukua walio bora.
Man Utd wameenda kutumia pesa nyingi kumnunua Maguire, City wanaenda kumnunua Ruben Dias. Hadi hapa shida sio pesa.
Chelsea wametumia pesa nyingi kuwanunua Enzo, Mudryk, Joao Felix. Hawa wote wame-flop, lakini hawa hawa angewapata Pep naamini wasingeflop na story ingebadilika kuwa Pep anachukua wachezaji walio wazuri.