Search results

  1. Mallia

    Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Kwani ni uwongo ? Nachosema ni kwamba mama yangu alipona kwa imani kwa sasa yupo vizuri na nafarijika kuita mama hadi leo sikulazimishi kuamini ukiona si kweli ingia pm nikupe uthibitisho wa kila kitu
  2. Mallia

    Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Mada yangu sijataja jina la hospitali wala mtumishi wewe unamtaja mtu huoni umechanganyikiwa
  3. Mallia

    Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Endelea kubisha kama kawaida yako hulazimishwi huko muhimbili walichemka ila Mungu amemponya mama yangu hilo tu
  4. Mallia

    Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Hata nabii ISSAH na Mtume wetu MUHAMMAD hawakukubaliwa na kila mtu sishangai atakayeyabeza haya ila yakimkuta ataaminii
Back
Top Bottom