Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Yesu ni yeye yule Jana leo na hata milele, aliponya, anaponya na ataponya tena na tena. yeye anasema njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha. ukiwa na mizigo ya dhambi nenda kwake atakupumzisha, ukiwa na mizigo ya magonjwa nenda kwake atakupumzisha. onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema, heri mtu yule atakayemtumaini Bwana.

Amin
 
Mungu atujaalie uzima,.kuna mama ntilie kitaa swala 5,ni rafiki yangu sana,binti yake aliumwa karibu mwaka mzima MAHUTUTI,.bi mkubwa akakata shauri akampeleka kuombewa,binti now now mpyaaaaaa kapona..imani dawa

Sana
 
Lile sio taifa lenu acheni shobo kwenu ni vatican ndio mnaenda kuhiji😅
Yaan unavyolazimisha unajiona mjanja huwez badilisha ukweli boy

Usipende kujifariji kwa mambo yasiyokua na msaada kwako kila siku nakuambia
Wewe ni muislamu alafu furaha yako ni ukubaliwe tu kwamba wakristo kwao ni vatican sasa sijui inakuongezea nini una fantasy za ajabu sana

kama tunatumia biblia moja unasemaje tunajipendekeza
 
Kwani ni uwongo ?

Nachosema ni kwamba mama yangu alipona kwa imani kwa sasa yupo vizuri na nafarijika kuita mama hadi leo sikulazimishi kuamini ukiona si kweli ingia pm nikupe uthibitisho wa kila kitu
Kwahyo unamwamini yule tapeli anaejiita mwalimu..?? Eti kapiga story na Musa ...!!

Kama wewe ni muislamu rudi darasani ukajifunze dini...

Zamani na adi sasa watu wanaomba mizimu,ng'ombe,makaburi,miti,mawe na n.k na wanapona.....

Kuna kitu kinaitwa safe healing hii kila mwanadamu timamu kaumbiwa ni issue ya kuijua,kuiamsha na kuitumia....na ni kitu inayoenda sambamba na imani...

Leo hii ata malaika washuke kutoka mbinguni waende maospitalini kuwaponya watu,wale watu kama hawana imani kwenye vifua vyao....ni kazi bureee....
 
Uongo🤣🤣🤣hivi kawaida sana ....Jamani jaribu muende hata hospital mkaone wagonjwa .

Unaanza wewe ni muislamu hakuna ukweli labda kama ni jina ila sio halisi.....Hizi stories zipo kibao hazina ukweli ni fake kuna kipind kabisa cha ushuhuda.🤣
Watanzania watu wa hovyo mkuu
Yaani mgonjwa afanyiwe op, apate wound dehiscence halafu madaktari wamkimbie kumtibu, akakaa na septic wound Zaidi ya miezi 3 ,yupo tu home .
Mleta mada, pumbavu zake
 
Hii ni hadithi ya kutunga ili kumproti huyo nabii feki. Jitahidi utawapata wenye roho nyepesi
Wewe ni mtu wa mihemko...halafu ni mgomvi....Tena kizabina zabina...na pia bwakubwaku...u mzandiki wewe...🤪🤪
 
Ni meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica

Usibeze ushuhuda wa mtu,Mungu anatendea watu makuu sana,Ni bora ungekua kimya kijana wa leo.
 
Wewe ni mtu wa mihemko...halafu ni mgomvi....Tena kizabina zabina...na pia bwakubwaku...u mzandiki wewe...🤪🤪
Nakuambiaje, hakuna nabii hata mmoja aliye hai bali kuna mapadre, wainjilisti, wachungaji na maaskofu.

Ni wajinga tu wanaowaamini akina Mwamposa, Mwakasege au Lusekelo.
Kweli Mwakasege anakuambia alikwenda Mbinguni akakutana na Yesu? Nanyi kwa kukosa maarifa (Hosea 4:6) mnaamini.

Sasa tofauti ya Mwakasege na kichaa Zumaridi iko wapi? Zumaridi anasema naye alkiwenda Mbunguni akakutana na Petro na Petro akataka kumuoa ila yeye akakataa!!

Nyinyi ndiyo mnakuwaga wahanga wa vifo kama vya Shakahola Kenya kwa Mackenzie au Kibwetere. Tunawaonya hapa mnakaidi, halafu mkishakufa ndugu zenu wanaanza kusumbua Serikali kuwa kwa nini haikuchukua hatua.

Hakuna nabii anatembelea Prado bana, tusidanganyane
 
kwenye maisha nimejifunza kitu kimoja, kuweka akiba ya maneno. maishani mwangu nimeshawahi kuwa too judgemental, though hata sasahivi bado at some point naweza kuwa judgmental kwa watu ambao ni obvious kuwa wanatumiwa na shetani kama ngurumo ya upako, na wauza mafuta wote, lakini wapo ambao hata kama hawatoki kwenye dhehebu langu, huwa nanyamaza. Mungu huwa anaweza kutumia vile vitu vidhaifu na usivyovidhania kwasababu vile vinavyojiona imara na bora havifanyi kazi ipasavyo. ni sawa na wewe leo hii nyumbani kwako, unayo sahani ya udongo nzuri na ya garama, ukaona kila ukizishika hizo sahani zinadondoka na zikidondoka zinavunjika hata kama ni za gharama sana, ukaamua kutumia sahani ya plastic hizo za sh.500 ambayo hata kama ni kwa hali ya chini utakula na hata ikidondoka haitavunjika, ili tu kutimiza malengo yako ya kula chakula.

Mungu anisaidie, Mungu akusaidie, Mungu atusaidie sote. although pamoja na yote, hatupaswi kukumbuka kuwa ni kweli hapa duniani wapo manabii wa uongo, na mtawatambua kwa matendo yao. matendo kama yale yanayofanyika Arusha, au na hao wanaofanya biashara ya kuuza mafuta chumvi au wale wanaoweka mbadala wa Jina la Yesu wanaamua kutumia mafuta na chumvi n.k, huhitaji Mungu ashuke aje akuambie hao ni manabii wa uongo. kule Arusha hata kwenye maombezi yake, mara chache sana anataja hata Jina la Yesu na imefika mahali anakashifu na kurekebisha Biblia. yeye anatumia nguvu zake, na mamlaka yake binafsi, sio Jina la Yesu.

wapo pia wengine waliofikia kiwango kwamba Jina la Yesu, na Damu ya Yesu imeisha nguvu, na wanaaamini Bwana Munuo aliyeanzisha kanisa la siloam ndiye mbadala wa Yesu, yule mchaga wa bomang'ombe aliyekuwa anafanya kazi TANESCO, ametembea kwa waganga na watoto anao hadi wa nje kama mimi tu, wanasema ndio mwokozi wao na connection yao kwa Mungu. hapa hapa Tanzania.
 
Huyo Munuo wa Siloam alikufa kama miaka 5-6 iliyopita. Na kanisa limegawanyika mara 2; la kwanza limebaki nyumbani kwake chini ya mke wake na la pili limehamia Wazo Hill na ndiyo lina watu wengi.

Mama Munuo kabakia na wafuasi kama 20 hivi, hakuna kinachoendela ni UTAPELI mtupu
 
Munuo alipagawa na pepo toka kuzimu kabisa, na mafundisho yake yoote ni ya uongo na nadharia za kuzimu. sisi wenzie tunajua Damu ya Yesu Kristo ina thamani kwasababu ilimwagwa/alikufa, akashuka kuzimu, siku ya tatu akafufuka. pia Yesu Kristo alikuwepo tangu awali. wao wanaposema munuo ndio mwokozi wao, alikufa kwa ajili ya mtu yule, wakati hata alipougua alikimbia hospitali Lugalo kuogopa kifo? alimwaga damu kwa ajili ya nani? alikuwepo tangu misingi ya dunia inawekwa? watu wanapenda sana kutapeliwa, tutumie akili wandugu.
 
Ni meishia kusoma pale nilivo ona kwamba ulipeleke maombini, ni ka kuona kijana mpuuzi, ingekua hivo hata kwenye theater za hospitali kungekua na maombezi tu,........mtoto wakiume anae amini maombezi ya walokole ana vyashilia vya jinsia ya kike. "Soul diseases are treated spiritually and physical diseases are treated biologically" don't mixup things plz nyie walokole mna kua na wrong absolute belief kitu ambacho ni hatari katika jamii zetu za kiafrica
Comment yako inaonyesha chuki uliyonayo dhidi ya Ukristo hasa ulokole...mleta mada ameeleza changamoto walizopitia na namna mama yake alivyopata msaada baada ya mahangaiko na kukata tamaa,wewe unakuja kupinga na kuponda imani ambayo imeleta majibu yaliyoshindikana...omba Mungu yasikukute,siku yakikukuta utakumbuka haya aliyoeleza huyu ndugu hapa...usifikiri kila tatizo la kiafya linakua solved medically,..kuna spiritual issues kubwa usizozifahamu...mtafute ndugu Mshana akupe elimu ya mambo ya kiroho.
 
Back
Top Bottom