Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,619
- 46,038
Mimi ni mteja wa CRDB juzi nimeenda kwenye account yangu mojawapo kwa ajili ya ada za watoto nimekuta zaidi ya milioni moja imetolewa.
Bank statment inaonesha kila siku walikuwa wanakata elfu kumi na moja sijui inasema purchase sijui nini.sijawai kununua chochote na hiyo card wala hakuna mtu alishawai kuiona. Wanasema eti labda nilibeti .sijawai hata sijui mambo hayo.
Wanasema siku 45 watanipa jibu.nini kinaendelea wakuu? Kudanga nidange mimi hela wachukue wengine kweli?