Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

Waislamu mnavituko sana huyo Mungu mkubwa ndo yupi
Kama Mungu wenu angekua na nguvu sana akawasaidie wapalestina wanachukuliwa ardhi yao kwa nguvu
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Kumbe ndio mnadanganyana ,Mungu ni mkubwa ndio maana uislamu unakuwa kwa kasi japo kupigwa vita miaka kibao na mataifa makubwa.

Wapalestina wanakaa kwao na ule mgogoro upo tu milele ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Mungu wenu angekuwa mkubwa asingekufa pale msalabani na kuchapwa na binadamu wake tena mnavyodai walimvua nguo ,then mtu huyo aje kukuokoa wewe kama mnaamini alisulubiwa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Kumbe ndio mnadanganyana ,Mungu ni mkubwa ndio maana uislamu unakuwa kwa kasi japo kupigwa vita miaka kibao na mataifa makubwa.

Wapalestina wanalaa kwao na ule mgogoro upo tu milele ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Mungu wenu angekuwa mkubwa asingekufa pale msalabani na kuchapwa na binadamu wake tena mnavyodai walimvua nguo ,then mtu huyo aje kukuokoa wewe kama mnaamini alisulubiwa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….
Mungu wa wakristo haangalii wingi wa watu
Ndo maana israel ni kinchi kidogo ila kilwapiga mataifa 7 ya waarabu

Wakati mungu wenu allah anasubiria muwe wengi ndo aonyeshe nguvu zake
Mungu wa wakristo hata wakiwa wachache anaonekana as long unamwamini
 
Wewe hodari kweli wa kuweka tarehe, na hao madaktari na mzee wako danadana yote waliyopigwa, Muhimbili walikuwa hawaijuwi?

Wajinga ndiyo waliwao.
 
"Tutapataje kupona kama.hatutaujali wokovu mkubwa nanmna hii". Abrahamu alifurahia alipoiona siku yake

Haya maneno yananiuisha sana kiroho ,tukijua nyakati tulizopo tungekuwa hodari sana kuupigania wokovu ,binadamu si kitu bila Yesu Kristo ,mwana wa Mungu aliye hai.

Wapo watub hujisemea hakuna Mungu ,nawasihi sana ndugu na kuisii nafsi yangu pia, yadunia ni mafupi sana hakuna jambo la dunia ambalo litatutuliza ,ila tumgeukie Kristo Yesu ambaye yeye ametuumba na anajua twahitaji nini.

Yamkini kusema kwangu si kuzuri ,wala hakuvutiii,ila Roho mtakatifu ayatie muhuri kwaajili ya asomaye ili apaye afahamau
 
FAmilia yangu imeingia Uktisto nikiwa na umti mdogo, ndugu zetu kwa 98% ni waislam na baba mkubwa ni shekhe.
Baba na familia yangu iliingia Ukristo kwa baba kuponywa ugonjwa uliomtesa kwa muda.

Nimeshuhudia kwa macho watu wakiponywa.
Nimeona watu wakiponywa nikiwa zero distance.
Nimeona miujiza mingi isiyoelezeka.

Hivyo kwangu...Yesu ni mponyaji
Kabisa mkuu ila inabidi uwaelewe.. Kuna vitu kwenye maisha ni hadi uvipitie ndo utajua kuwa vipo na kuupa uzito unaostahili
 
Mungu ni Mwaminifu. Mpe pole mama na kamwe asiache Imani yake.

Mungu na atukuzwe milele
 
Mungu wa wakristo haangalii wingi wa watu
Ndo maana israel ni kinchi kidogo ila kilwapiga mataifa 7 ya waarabu

Wakati mungu wenu allah anasubiria muwe wengi ndo aonyeshe nguvu zake
Mungu wa wakristo hata wakiwa wachache anaonekana as long unamwamini
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Israel kampiga nan ? Ndio mnadangaywa na tangu lini isreal ni taifa la wakristo?

Tuende kisomi maana umepumbaa sanaa ...Leta takwimu israel ni taifa la kikristo .!!
 
"Niite nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo magumu, makubwa usiyoyajua" Imeandikwa.
 
Wewe hodari kweli wa kuweka tarehe, na hao madaktari na mzee wako danadana yote waliyopigwa, Muhimbili walikuwa hawaijuwi?

Wajinga ndiyo waliwao.

Endelea kubisha kama kawaida yako hulazimishwi huko muhimbili walichemka ila Mungu amemponya mama yangu hilo tu
 
Wewe hodari kweli wa kuweka tarehe, na hao madaktari na mzee wako danadana yote waliyopigwa, Muhimbili walikuwa hawaijuwi?

Wajinga ndiyo waliwao.
Tulia mama! Ya Ngoswe mwachie Ngoswe. Wewe kila siku unatuletea udini wenzi tumetulia. Leo wasio upande wako wameleta yao unawashwawashwa.
 
Back
Top Bottom