Search results

  1. Mpatanishi

    Msaada: Fundi mzuri wa kutengeneza laptop

    Habari zenu wana jf. Ninaomba msaada wapi naweza kupata fundi mzuri wa kurekebisha laptop yangu. Hii laptop nimeletewa kutoka nje ni lenovo B570e nimeitumia kama week mbili hivi ila hivi sasa baadhi ya button hazifanyi kazi. Nimeuliza kuna jamaa ananiambia inabidi nibadilishe key board...
  2. Mpatanishi

    NACTE mnatuumiza jamani

    Habari wakuu. Sisi tuliopata vyuo wengine tuliomba transfer na tayari profile zetu zimeonesha kwamba tayari tumeshahamishwa. Nimekwenda kuripoti chuo kipya nilichopangiwa naambiwa jina halipo hivyo wanasubir tcu watume majina. Wiki ya pili sasa inakatika hayo majina hayajafika chuo mbaya zaidi...
  3. Mpatanishi

    Transfer forms za NACTE

    Kwa mujibu wa nacte wenyewe form zitakua hewani katika website yao kuanzia kesho. Malipo ya elfu 30 yanahusika. Deadine yao sijui itakua lini zaidi ya yote juzi ijumaa walisema selections bado inaendelea so wasiopata vyuo wasiwe na hofu. Hawa ndio nacte aiseeeeee.........
  4. Mpatanishi

    Mishahara Mwezi Agosti

    Katika hali isiyoeleweka mpaka sasa mishahara haijatoka. hususani kwa kada ya ualimu kwa manispaa zote tatu hapa Dar Es Salaam na kwa hili nadhani hata mikoani hali ni hii hii. Hii serikali mbona haieleweki iweje mishahara isitoke na hakuna maelezo yoyote, wahusika wapo kimya.
  5. Mpatanishi

    Mishahara hakuna mpaka leo 31, manisaa ilala

    Wakuu. Mm ni mtumishi wa umma idara ya elimu. Mpaka leo tar 31 mishahara haijaingia bank. Inasemekana hela za mishahara wamelipwa watu wa Sensa mana waligoma na serikali haikua na hela. Hivi hii haki kweli? Kwa nini serikali imeshindwa kulipa mishahara wakati muafaka? iweje mishahara ya...
  6. Mpatanishi

    Walimu waamua kutumia silaha ya mwisho.

    Wana Jf. Katika kuonesha kwamba walimu tumechoshwa na kupuuzwa na serikali sasa tumeamua kutumia Silaha ya mwisho ili matokeo yake iwe funzo kwa serikali hii dhaifu kama msg inavyosomeka hapa chini. Ndugu mwalimu: Katika somo au masomo yako hakikisha humwandai mwanafunzi kupata A,B,C wala...
  7. Mpatanishi

    Varangati manispaa ilala. Walimu wasema uovu wa serikali ya ccm sasa basi

    Habari zenu wakuu! Nipo maeneo ya Manispaa Ilala varangati kubwa linaendelea walimu wapya wanadai mishahara yao. Kama inavyozoeleka serikali hii ovu ya CCM mwaka huu imeamua kuwadhulumu kabisa walimu hawa mishahara yao ya mwezi wa pili. Tayari walimu wameshaonana na afisa utumishi na majibu...
  8. Mpatanishi

    Wakurugenzi wa halmashauri wajiandaa kuchakachua hela za walimu.

    Wakuu nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba huu ndio wakati wa zile hela za walimu za kujikimu ,nauli na hela za mizigo kuchakachuliwa. Ushauri wangu kwenu walimu wapya ni kuwa makini na kutafuta waraka wa serikali kwenda kwa wakurugenzi hao unao onyesha malipo mnayostahili kupata kila...
  9. Mpatanishi

    Eng. NSIANDE, SIASA INATUMIKA KWENYE MGAO WA UMEME??

    Kwako Eng. Nsiande. Pole na kazi. Binafsi napenda uniweke sawa jambo hili linalonitatiza. Ni muda mrefu sasa wananchi wa sehemu mbali mbali wanalalamika kwa mgao wa umeme. Wakazi wa Mwanza na Arusha wamekua wakilalamika sana kuwa wanapewa mgao mkali zaidi kwa kuwa tu wanaongozwa na wabunge...
Back
Top Bottom