Eng. NSIANDE, SIASA INATUMIKA KWENYE MGAO WA UMEME??

Mpatanishi

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,810
623
Kwako Eng. Nsiande.
Pole na kazi.

Binafsi napenda uniweke sawa jambo hili linalonitatiza.
Ni muda mrefu sasa wananchi wa sehemu mbali mbali wanalalamika kwa mgao wa umeme.
Wakazi wa Mwanza na Arusha wamekua wakilalamika sana kuwa wanapewa mgao mkali zaidi kwa kuwa tu wanaongozwa na wabunge wa upinzani. Na wa Dar kama Kawe na Ubungo nao ni hivyo hivyo.

Wakati huohuo nikapata taarifa kuwa Tanga hawana kabisa mgao wa umeme. Mwanzoni sikuamini ila kwa likizo yangu ya mwaka huu nimeamua kuja Tanga na kweli nimedhibitisha kuwa hakuna mgao wa umeme, nipo huku kwa mwezi mmoja sasa, umeme haukatiki si mchana si usiku, nimetembea majimbo yote ya mkoa huu na wakazi wameniambia hawana mgao wa umeme tangu mwezi April.
Je ni kweli kuwa Mkoa mzima wa Tanga hakuna mgao kutokana na kuongozwa majimbo yote nane na wabunge wote wa CCM??

Je ni kweli kwamba mgao mkali umeme Mwanza, Arusha, Ubungo, Kawe n.k ni kutokana na wao kuongozwa na wabunge wa Chadema?!

Niweke sawa Mkuu.

Mjumbe, nasikitika umelidanganya jamvi, tanga kunamgao wa umeme kama kawa, labda sijui mwenzetu upo tanga ya wapi?

Sitaki nikubaliane na wewe moja kwa moja. mimi ninaishi ubungo ila muda mwingi wa mchana ninakuwa kibaruani ambapo generetor lipo, kwa hapa dar sehemu yenye mgao muda mrefu ni K/koo. ambapo mbunge wao ni Zungu. Tabora kuna mwenyekiti wa simba ambaye ni mwana magamba lakini waulize jamaa wanavyotaabika. Urambo kwa ndugu CCJ umeme wa mgao kama kawaida

Uyasemayo yana ukweli kwani jamaa zangu wengi wa maeneo ambako CDM wanaongoza kidogo mgao umekua mkali sana,mfano hapa Dodoma swala la mgao limeisha kabisa kwa hii ni hujuma kwa serikali kutokuwapatia wananchi haki sawa

sasa logic ya kuanzisha thread na kumuelekezea member mmoja hapo iko wapi?????

who is eng.nsiande kwenye maamuzi ya mgao wa umeme??????

Kwako Eng. Nsiande.
Pole na kazi.

Binafsi napenda uniweke sawa jambo hili linalonitatiza.
Ni muda mrefu sasa wananchi wa sehemu mbali mbali wanalalamika kwa mgao wa umeme.
Wakazi wa Mwanza na Arusha wamekua wakilalamika sana kuwa wanapewa mgao mkali zaidi kwa kuwa tu wanaongozwa na wabunge wa upinzani. Na wa Dar kama Kawe na Ubungo nao ni hivyo hivyo.

Wakati huohuo nikapata taarifa kuwa Tanga hawana kabisa mgao wa umeme. Mwanzoni sikuamini ila kwa likizo yangu ya mwaka huu nimeamua kuja Tanga na kweli nimedhibitisha kuwa hakuna mgao wa umeme, nipo huku kwa mwezi mmoja sasa, umeme haukatiki si mchana si usiku, nimetembea majimbo yote ya mkoa huu na wakazi wameniambia hawana mgao wa umeme tangu mwezi April.

Na wewe utakuwa fisadi shirika gani hilo linatoa likizo ya zaidi ya mwezi mmoja. LA sivy umeongeza chumvi kutimiza malengo ya habari yako?

Binafsi nilikuwa moshi na arusha mwezi wa saba. Kwa moshi kuna unafuu kidogo wanakata saa 1 asubuhi na kuwasha saa 1 usiku. Kimbembe kilikuwa arusha, wanakata saa 1 asubuhi na kuwasha saa 6 usiku!

Mjumbe, nasikitika umelidanganya jamvi, tanga kunamgao wa umeme kama kawa, labda sijui mwenzetu upo tanga ya wapi?

Tanga mjini, sema kingine, usidhan nakurupuka,nimepita wilayani tu hakuna mgao huko mkoani utatoka wapi, nimekaa wiki mbili Muheza, korogwe, Lushoto, Handeni na hakuna mgao.

sasa logic ya kuanzisha thread na kumuelekezea member mmoja hapo iko wapi?????

who is eng.nsiande kwenye maamuzi ya mgao wa umeme??????

Nimemuuliza mdau wa Tanesco so kama huelewi kaa kimya tu sio lazima uchangie.

Na wewe utakuwa fisadi shirika gani hilo linatoa likizo ya zaidi ya mwezi mmoja. LA sivy umeongeza chumvi kutimiza malengo ya habari yako?[/QUOTE

haaah haah acha kukariri mkuu, nina mwez mzima huku, na taarifa ni kwamba hakuna mgao na mfanyakaz wa tanesco naishi nae na amenijibu hajui ni kwa nn huku hakuna mgao!

Labda waseme kwa kuwa hale inazalisha umeme na pia haiwez kuwa sababu.

Tanga mjini, sema kingine, usidhan nakurupuka,nimepita wilayani tu hakuna mgao huko mkoani utatoka wapi, nimekaa wiki mbili Muheza, korogwe, Lushoto, Handeni na hakuna mgao.

Mimi nimetoka Handeni jana, umeme una mgao kama kawaida. Tena hauna wakati maalum. Na nilikuwa Bwawani Hotel (Kigoda), bahati hapo kuna generator lakini linawashwa ikiwa hamna umeme usiku tu.

mkuu hebu kuwa mkweli,
ninachosema hapa ni serious huku hakuna mgao acha kudanganya wanajamvi.

vijijini ambapo asimilia kubwa ya wananchi wake walichagua ccm je umeme hupo hata huo wa mgao ?? na pia lazima uangalie na upande wa pili
wa shillingi kitendo cha ccm kuwanyima umeme kama ni kweli majimbo ya upinzani inasaidiaje kujenga mahusiano mema na wananchi hao kama siyo
kuwatia hasira na kuzidisha chuki yao dhidi ya CCM.

Mbunge wa Iringa mjini ni mh. Msigwa kutoka CDM, lakini mgao wa umeme ni nafuu sana ukilinganisha na Mwanza na Arusha.

Back
Top Bottom