Walimu waamua kutumia silaha ya mwisho.

Mpatanishi

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,810
623
Wana Jf.
Katika kuonesha kwamba walimu tumechoshwa na kupuuzwa na serikali sasa tumeamua kutumia Silaha ya mwisho ili matokeo yake iwe funzo kwa serikali hii dhaifu kama msg inavyosomeka hapa chini.

Ndugu mwalimu: Katika somo au masomo yako hakikisha humwandai mwanafunzi kupata A,B,C wala D, mwandae katika kiwango cha F kwasababu hata akipata A juhudi zako ni sawa na bure. HII NDIO SILAHA YETU YA MWISHO. Tuma msg hii kwa walimu wengine.

Nimepokea msg hii ambayo imeonekana kusambazwa kwa kasi kwa walimu wengi mana nimeipata kutoka kwa walimu tofauti tofauti.

Haya sasa KAZI IMEANZA je dhaifu atakubali kutusikiliza au kwa silaha hii pia atakwenda mahakamani?!
 
Kwani mlikuwa mnawaandaa wapate A,B, C au D? Kabla ya SMS F zilikuwa zimetamaliki, mkigoma si itakuwa hatari kubwa.
 
Hivi kumbe walimu walikuwa wanatumia juhudi kubwa sana kuhakikisha wanafunzi wanafaulu eenh?Duh!Kumbe watoto wa siku hizi wana vichwa vigumu sana maana na juhudi zote hizo za walimu lakini 89% wamepata 0 na 4 matokeo ya mwaka jana.
 
hiyo wenzetu wa miaka ya nyuma walikua wamebeep sasa hv kwa pamoja tunapiga rasmi. LIWALO NA LIWE.
 
aisee baba yangu mbula ngameshoka kishenzi mmeku mbutukuna

tilima ngifutwe mburu
 
sidhani kama ni sahihi...mnawahumiza wasio na hatia...dawa ni kufanya maamuzi magumu kwa chama dhaifu cha nyinyiem 2015....
 
hapo pangenoga zaidi kama kungekuwa na sheria ya kuzuia wanafunzi kuanzia primary mpaka sekondary wasiende kusoma nje ya nchi .hapo ingekuwa powa sana watoto wa vigogo nao wangeyaonja haya machungu. Lakini kwa hivi watoto wa walala hoi ndio wataumia
 
wakuu mimi naona njia nzuri ni kuwapa wa toto NONDO ZA ELIMU YA ARAIA na wahamasishe wajiandikishwe kwa wingi ili hapo 2015 MTAWALA AONDOKE
 
hilo halitosaidia, ikiwa mmewandaa kupata hizo A, B na C kwa zaidi ya miaka 6 na nusu (darasa la 7) au zaidi ya miaka 3 na nusu (form 4) mnaweza kuwabadilisha kwa kipindi kifupi kilichobaki?
 
Namna mambo yanavyokwenda watoto wa maskini watapata elimu duni sana ambayo itawafanya kuwa cheap labour(security) kwa matajiri ni muhimu kwa jamii(sio serikali)kutafuta solution.
 
Duh! Tukifika hapo nitabaki kuihurumia nchi yangu. Maskini nchi yangu Tanganyika kwisha habari yake!
 
Tawile tawale hee hii nimeipenda. Copy that

Roger that........ Hahahaa na ile ya 3x3=33
Tutafika tu kwa mtindo huu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
wakuu mimi naona njia nzuri ni kuwapa wa toto NONDO ZA ELIMU YA ARAIA na wahamasishe wajiandikishwe kwa wingi ili hapo 2015 MTAWALA AONDOKE

Mkuu hilo tunalifanya ipasavyo. Mimi 4m3 wangu mfano ukiwauliza kwa nini Tanzania ni masikini watakujibu vizuri sana with vivid examples na majina yote ya mafisadi wa rasilimali zetu, ajabu swali hili hili M.kwere aliwahi kusema hajui why Tanzania ni masikini.
Dhaifu bwana halafu ameahidi maisha bora kwa kila mtanzania. Hivi kama dokta hajui unaumwa nini ataweza vipi kukutibu?!
 
hilo halitosaidia, ikiwa mmewandaa kupata hizo A, B na C kwa zaidi ya miaka 6 na nusu (darasa la 7) au zaidi ya miaka 3 na nusu (form 4) mnaweza kuwabadilisha kwa kipindi kifupi kilichobaki?
Usicheze na walimu wakidhamiria hata wiki. Hasa mwl wa drs la kwanza
 
Kwenye Somo la Uraia walimu wafundisheni udhaifu wa ccm. Upande wa pili waonesheni njia ya mafanikio
 
Back
Top Bottom