Search results

  1. qeentar

    Matumizi ya neno ''Mheshimiwa'' kwa viongozi wenye nyadhifa

    Wakati wananchi wakiendelea kuwaita wabunge "waheshimiwa"baadhi yao wameendelea kuhoji ni kwa nini wanaiitwa waheshimiwa ukizingatia kwamba wanawakilisha wananchi,hivi hilo neno linaashiria hofu au heshima?mbona wakati wa kampeni wanajishusha sana,hata rais huwa anatumia neno mbunge anayegombea...
  2. qeentar

    Bajeti ya afya

    poa ila hata sekta hii ni muhimu,au huwa unatibiwa nje ya nchi?
  3. qeentar

    Bajeti ya afya

    poa haina nomaaaa
  4. qeentar

    Bajeti ya afya

    Sekta ya afya ni asilimia 8 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo ilikuwa ni asilimia 11,ifikapo 2015 Tanzania inatakiwa kufikisha asilimia15 ili itimize azimio la abuja na nashindwa kuelewa kama kiasi cha fedha kilichotengwa kinaweza kuleta ufanisi na maendeleo wa afya ya mama na...
  5. qeentar

    Ukosefu wa ajira ni changamoto inayoikabili jamii hasa mtoto wa kike

    Wanawake walio wengi nchini hali yao kiuchumi ni mbaya ukilinganisha na mchango wao katika jamii, hali hii imechangia wanawake wachache kufikia nafasi za juu kabisa katika taaluma,siasa, na biasahara. Na pia wamekuwa ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengine nchini.
  6. qeentar

    Tamasha la kijinsia

    Mtandao wa kijinsia tanzania (TGNP)unaandaa semina ya demokrasia na maendeleo,ardhi,nguvukazi,na maisha endelevu litakalofanyika tarehe13 hadi 16 septemba mwaka huu jijini Dar es salaam tamasha litalenga zaidi harakati za kijamii na wanawake walioko pembezoni kuhakikisha wanapata fursa sawa za...
  7. qeentar

    mama ntilie baadhi yenu sio wasafi,tambueni mnahudumia watu

    nadhani kuna baadhi ya watu hawatambui kero zao
  8. qeentar

    mama ntilie baadhi yenu sio wasafi,tambueni mnahudumia watu

    chapati zinazochomwa mtaani au kwenye vibanda ni bei rahisi lakini kutokana na vumbi lilokuwepo sasa hivi,ni vizuri mkatafuta hata vimeza vya kupikia au mbinu nyingine maana mnalisha watu uchafu na mkiambiwa mnakuwa wakali.
  9. qeentar

    Mtoto anayekosa malezi ya mama toka mdogo anakuwa hayuko huru sana na wazazi wake

    kama wazazi wake wote wanafanya kazi na wanarudi usiku,au wanaonana mara moja kwa wiki ,akiwa na shida hawezi kuwaeleza.
  10. qeentar

    UDOM hapakaliki; wanafunzi kumi wamefukuzwa bila kosa

    jamani sio fair wanavyowafukuza,tumechoka kuelezwa sipiyu wataifahamu lini?solution ni kujifunza kwa vitendo na ni haki yao kupata elimu bora sio bora elimu
  11. qeentar

    Msichana wa kazi afukuzwa kwa kutoa siri za mama mwenye nyumba yake

    maybe elimu nayo inachangia,hakuwaza kitakachotokea
  12. qeentar

    Msichana wa kazi afukuzwa kwa kutoa siri za mama mwenye nyumba yake

    nyumba nzuri,hujengwa na baba na mama
  13. qeentar

    Msichana wa kazi afukuzwa kwa kutoa siri za mama mwenye nyumba yake

    sikio la kufa haliskii dawa,jamaa kapenda
  14. qeentar

    Msichana wa kazi afukuzwa kwa kutoa siri za mama mwenye nyumba yake

    therefore huyu mdada alikosea,i think u are right,afuate ya kwake
  15. qeentar

    Msichana wa kazi afukuzwa kwa kutoa siri za mama mwenye nyumba yake

    huyo mume hasikii,ana sikio la kufa
  16. qeentar

    Msichana wa kazi afukuzwa kwa kutoa siri za mama mwenye nyumba yake

    love is blind,i think mume wake anampenda sana
  17. qeentar

    Msichana wa kazi afukuzwa kwa kutoa siri za mama mwenye nyumba yake

    msichana anayefanya kazi za ndani jana alifukuzwa na bosi wake baada ya kutoa siri za mke wa mtu,chanzo cha mkasa huo umesababishwa na mama mwenye nyumba ambaye anatabia ya kumdharau dada wa kazi. baada ya kuona visa haviishi baina yake na mama mwenye nyumba ndipo alipoamua kumwambia...
Back
Top Bottom