mama ntilie baadhi yenu sio wasafi,tambueni mnahudumia watu

qeentar

Member
May 20, 2011
24
1
chapati zinazochomwa mtaani au kwenye vibanda ni bei rahisi lakini kutokana na vumbi lilokuwepo sasa hivi,ni vizuri mkatafuta hata vimeza vya kupikia au mbinu nyingine maana mnalisha watu uchafu na mkiambiwa mnakuwa wakali.
 
kama wale wa kigamboni maeneo ya feli ni noma wanakaanga bagia na sehemu chafu balaa.
kitu kinachowafanya wawehivyo ni sisi walaji wakiwa wa safi tunaogopa kununua eti ni ghali..
 
mkuu ... kumbe mama nitilie pia wanaingia humu jf
ni kwlei baadhi ya mama ntilie si wasafi, lakini jf hata kama wapo ni wachahche, nafikiri hii hoja ni nzuri sana , ila if we real care itafutwe namna ili ujumbe huu uwafikie na wajirekebishe , kwani walaji wa kwa mama ntilie ni wengi....
 
Nadhani hapa tatizo ni mamlaka zinazotakiwa kusimamia suala hili hazifanyi wajibu wao wa kuwaka standard za hawa mamantilie. Pia asilimia kubwa wanakuwa na mitaji midogo ili wapate eneo zuri lazima wawe na mtaji mkubwa.
 
Back
Top Bottom