Search results

  1. T

    Dominique strauss kahn anatisha!

    Gazeti la daily mail la marekani limeripoti leo hii. Kichwa cha habari,"imf boss dominique strauss kahn semen found on shirt of hotel maid accusing him of sex assault" na linatiririka kama ifuatavyo, 32 years old chambermaid told cops strauss kahn charged at her in the nude,tore at her clothes...
  2. T

    jamani yamemkuta huyu best yangu je mna ushauri?

    Nina best yangu mmoja ameanza uhusiano na binti mmoja mrembo sana tuuu, na wana kama miezi 6 hv, kwa jinsi ninavyomfahamu huyu jamaa ana uzoefu mkubwa ktk maswala ya mahusiano na girlfriend zake wote wa kipindi kilichopita ambao ameachana nao, huwa hawachoki kumsifia kwamba anauwezo wa hali ya...
  3. T

    Najuta kuhamia nyumba hii

    JAMANI YAMENIKUTA NA NAWAOMBA USHAURI, MASWALI KUNIULIZA RUKSA. NIMEHAMIA HAPA DODOMA TOKA MWEZI WA TATU, MWAKA HUU. WAKATI NIKITAFUTA NYUMBA KUNA DADA MMOJA AMBAYE TUNAFANYA NAE KAZI PAMOJA ALINISAIDIA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA,HAPA NILIPO SASA, NA KWA BAHATI SI MBALI SANA NA NYUMBANI KWAO...
  4. T

    Hivi nyie kina dada mna nini?

    Jamani inanishangaza, hii si mara ya kwanza kuliona na leo nimeamua kulivalia njuga. Jamani hebu liangalieni hili, utakuta mwanamke, mdada bado hakubahatika kuolewa na ukimfuatilia kwa undani utagundua ana kazi yake nzuuuuuuri tuu,ila hana cha boyfriend wala fiancee. Cha ajabu kila cku...
  5. T

    Hebu nishaurini ktk hili jamani

    Jamani mimi ni kijana, bado sijaoa ila niko ktk mchakato wa kumtafuta mke,wiki iliyopita jioni nilikuwa natembea natokea kazini narudi nyumbani,ikatokea tukapishana na dada mmoja, baada ya kama hatua tano tu toka tupishane likanijia tu wazo la kugeuka nyuma. Sikuwa na nia ya kumuangalia yeye...
  6. T

    Jamani na mimi nimejiunga

    Napenda kujitambulisha kwenu wana jf leo hii, mimi ni mtanzania mwenzenu na nimevutiwa sana na michango mbalimbali ya kimtazamo inayopatikana ktk blogu hii. Nami nimejiunga. Na nategemea kuchangia na kuchangiwa kimawazo ktk lolote mtakalowakilisha na nitakalowakilisjha, tupo pamoja...
Back
Top Bottom