jamani yamemkuta huyu best yangu je mna ushauri?

TAITUZA

Member
May 2, 2011
94
34
Nina best yangu mmoja ameanza uhusiano na binti mmoja mrembo sana tuuu, na wana kama miezi 6 hv, kwa jinsi ninavyomfahamu huyu jamaa ana uzoefu mkubwa ktk maswala ya mahusiano na girlfriend zake wote wa kipindi kilichopita ambao ameachana nao, huwa hawachoki kumsifia kwamba anauwezo wa hali ya juu ktk kale kamchezo.

Na kuna binti mmoja ambaye alikuwa mpenz wa huyu jamaa hapo zamani, ambaye ameshaolewa alishawahi kudiriki kunambia kwamba pamoja na kuwa ni mke wa mtu, kila akutanapo na huyu jamaa hamu ya tendo humjia na anahisi muda wa kuisaliti ndoa yake umekaribia.

Cha ajabu juzijuzi tu huyu best yangu amening'ata sikio kuhusiana na huyu dem wake mpya ambaye ni kifaa balaa. Jamaa anadai hajawahi kukutana na mwanamke wa aina hii, anadai wawapo ktk tendo hujikuta ameshapeleka nyavuni mpaka goli 4, lkn bila ya binti kuonyesha dalili zozote za yeye kufika kileleni japo hata mara moja.

Jamaa anadai hujitahidi kumwandaa huyu dada kuanzia nusu saa mpaka saa zima kabla ya kuingia ktk tendo, na na huonyesha ishara yuko tayari kwa mechi, sasa jamaa anashangaaa ni hali gani inayomsibu huyu binti?

Jamaa ameshajaribu kumnywea hata konyagi na valuu ili aboreshe mchezo lakini wapiiiii! jamani mabinti, wataalamu wa saikolojia na madaktari hebu toeni mchango wenu ktk hili ili niweze kumkwamua huyu jamaa.
 
mmh.ameshawahi kuongea nae? unajua haya mambo wakati mwingine ni vizuri kusema nae, mfano baada ya tendo unamuuliza vp game aliionaje and if she is also satisfied..sio unapiga goli zako unasepa! ninauhakika kama akiongea nae watajua solution na ni vizuri zaidi kulitatua kwa kina, mwanamke kufika kileleni ni mpaka awe tayari kwa tendo na awe tayari kuridhika na kile anachokitaka! hapo ni burudani kwenda mbele...asimuache mtoto mzuri huyo
 
nina best yangu mmoja ameanza uhusiano na binti mmoja mrembo sana tuuu, na wana kama miezi 6 hv,kwa jinsi ninavyomfaham huyu jamaa ana uzoefu mkubwa ktk maswala ya mahusiano na girlfriend zake wote wa kipindi kilichopita ambao ameachana nao huwa hawachoki kumsifia kwamba anauwezo wa hali ya juu ktk kale kamchezo. na kuna binti mmoja ambaye alikuwa mpenz wa huyu jamaa hapo zamani,ambaye ameshaolewa alishawahi kudiriki kunambia kwamba pamoja na kuwa ni mke wa mtu, kila akutanapo na huyu jamaa hamu ya tendo humjia na anahisi muda wa kuisaliti ndoa yake umekaribia. cha ajabu juzjuz tu huyu best yangu amening"ata sikio kuhusiana na huyu dem wake mpya ambaye ni kifaa balaa. jamaa anadai hajawahi kukutana na mwanamke wa aina hii,anadai wawapo ktk tendo hujikuta ameshapeleka nyavuni mpaka goli 4, lkn bila ya binti kuonyesha dalili zozote za yeye kufika kileleni japo hata mara moja.jamaa anadai hujitahidi kumwandaa huyu dada kuanzia nusu saa mpaka saa zima kabla ya kuingia ktk tendo, na na huonyesha ishara yuko tayari kwa mechi, sasa jamaa anashangaaa ni hali gani inayomsibu huyu binti? jamaa ameshajaribu kumnywea hata konyagi na valuu ili aboreshe mchezo lakini wapiiiii! jamani mabinti, wataalamu wa saikolojia na madaktari hebu toeni mchango wenu ktk hili ili niweze kumkwamua huyu jamaa.

Una umri gani?
 
Ameshachezea wanawake wengi sana kama ulivyosema, sasa hapo ni tamati maana huyo demu hana uhakika kama kweli amefika au ndio nae atatoswa hivi karbuni.
 
Me? 33yrs man. Jamaa akijaribu kumuuliza huyu dada anakuwa mkali. Hapo mwanzo alihisi amekeketwa lakini baada ya kumfanyia uchunguzi amegundua hapana. Na nilishawaeleza wana jf huyu best yangu si mgeni wa haya mambo ana umri wa miaka 35 na alitegemea huyu binti aje kuwa mkewe muda si mrefu,sasa amechanganyikiwa kwa kuwa hataki tena kurukaruka na mabinti wengine mpeni ushauri jamani.
 
Mwambie ajitahidi awe anajizuia bao linapokaribia kutoka, ajitahidi mpaka demu anakam. Kumwandaa muda mrefu si isue sana kwani unaweza kumwandaa muda mrefu halafu ukaingia tu na kupiga bao. akishindwa kabisa azame chumvini.
 
Inaonekana huyo demu yuko veeeeeeeeeeeeeeery hot and yaelekea hata issue (private part)yake iko tight,so jamaa akizamisha mtulinga unashindwa kuhimili ile heat so jamaa anajikuta amekwisha multiplize bao mumo kwa mumo.Sasa kuna kitu najiuliza je amekupa experience ya kipenyo cha wale ma-x wake??????maana kama hakukwambia basi jibu langu la hapo juu bila shaka litakuwa sahihi,Kwasababu yawezekana alikuwa na bahati mbaya ya kukutana na mademu wenye **** kubwa.sasa jinsi ya kufanya ili kuepukana na tatizo hilo sio kujichemsha damu kwa kunywa value ila ajitahidi kutumia vipiande vya barafu (ice)kwa ajiri ya kujisponji-sponji mtulinga pale anaposikia umepashwa joto la kutosha na anajiskia kushusha mi-sperm yake.akifanya hivo undoubtfuly atamfikisha huyo demu wake kileleni.
 
Inaonekana huyo demu yuko veeeeeeeeeeeeeeery hot and yaelekea hata issue (private part)yake iko tight,so jamaa akizamisha mtulinga unashindwa kuhimili ile heat so jamaa anajikuta amekwisha multiplize bao mumo kwa mumo.Sasa kuna kitu najiuliza je amekupa experience ya kipenyo cha wale ma-x wake??????maana kama hakukwambia basi jibu langu la hapo juu bila shaka litakuwa sahihi,Kwasababu yawezekana alikuwa na bahati mbaya ya kukutana na mademu wenye **** kubwa.sasa jinsi ya kufanya ili kuepukana na tatizo hilo sio kujichemsha damu kwa kunywa value ila ajitahidi kutumia vipiande vya barafu (ice)kwa ajiri ya kujisponji-sponji mtulinga pale anaposikia umepashwa joto la kutosha na anajiskia kushusha mi-sperm yake.akifanya hivo undoubtfuly atamfikisha huyo demu wake kileleni.


duhh jamaa, hehe
ushauri mwingine bwana!
nadhani muuliza swali amekupata vizuri LOL
 
Back
Top Bottom