Jamani na mimi nimejiunga

TAITUZA

Member
May 2, 2011
94
34
Napenda kujitambulisha kwenu wana jf leo hii, mimi ni mtanzania mwenzenu na nimevutiwa sana na michango mbalimbali ya kimtazamo inayopatikana ktk blogu hii. Nami nimejiunga.
Na nategemea kuchangia na kuchangiwa kimawazo ktk lolote mtakalowakilisha na nitakalowakilisjha,
tupo pamoja,
asanteni.
 
Karibu sana Mkuu, jisikie uko nyumbani kabisa. Hapo kwenye hiyo fridge nyuma yako kuna vinywaji mbali mbali vya kukata kiu vikiwemo coke, sprite, orange juice, passion juice, fanta, Mirinda, Pepsi na pia Togwa. Chagua unachokipenda ili upunguze kiu maana leo jua kali sana.

Karibu sana jamvini.
 
Karibu..karibu sana mgeni..vyumba vipo vingi ukitoka hapa sebuleni unaweza kuingia chumba kingine kileeee...kuna mtu mlangon pale atakupokea kwa juisi ya ukwaju na pilipili
 
Karibu Mkuu! Hatuna kinywaji leo hapa, unatumia kivutaji gani? Kuna kila utakachohitaji kuhusu uvutaji.
 
Back
Top Bottom