Dominique strauss kahn anatisha!

TAITUZA

Member
May 2, 2011
94
34
Gazeti la daily mail la marekani limeripoti leo hii. Kichwa cha habari,"imf boss dominique strauss kahn semen found on shirt of hotel maid accusing him of sex assault" na linatiririka kama ifuatavyo, 32 years old chambermaid told cops strauss kahn charged at her in the nude,tore at her clothes and tried to force her to perform oral sexin his hotel room on may 14. Mwisho wa kunukuu habari hiyo. Sasa narudi kwenye mada , hv kweli waweza amini mzee kama yule kweli alimpa maiki kibabe binti wa watu ili aflow mistari? Jamani hv hata wazee kama hawa wanawapigisha mswaki mabinti wadogo? Mi nahisi hii dunia tuliyopo ni sasa ni ya mwishomwisho,kwa kuwa mpaka mzee kama huyu anayajua maujanjaujanja ya vijana wa kileo, jamani ama kweli mzee hazeeki maini. Na huyu ndiye aliyekuwa anataka kugombea urais mwaka ujao ufaransa. Mmeona?
 
do you think wazee hawapati nyege? ukizingatia na misosi ya kisasa tunayokula...! suala la urais imekula kwake!
 
gazeti la daily mail la marekani limeripoti leo hii. Kichwa cha habari,"imf boss dominique strauss kahn semen found on shirt of hotel maid accusing him of sex assault" na linatiririka kama ifuatavyo, 32 years old chambermaid told cops strauss kahn charged at her in the nude,tore at her clothes and tried to force her to perform oral sexin his hotel room on may 14. Mwisho wa kunukuu habari hiyo. Sasa narudi kwenye mada , hv kweli waweza amini mzee kama yule kweli alimpa maiki kibabe binti wa watu ili aflow mistari? Jamani hv hata wazee kama hawa wanawapigisha mswaki mabinti wadogo? Mi nahisi hii dunia tuliyopo ni sasa ni ya mwishomwisho,kwa kuwa mpaka mzee kama huyu anayajua maujanjaujanja ya vijana wa kileo, jamani ama kweli mzee hazeeki maini. Na huyu ndiye aliyekuwa anataka kugombea urais mwaka ujao ufaransa. Mmeona?

kwa ya kwake ina nyuki ??mbona mnarefusha mambo jamani haka kababu ni chakuheshimu sana wachache waweza kuwakuta kwenye nguvu zao kama vile
 
Back
Top Bottom