Najuta kuhamia nyumba hii

TAITUZA

Member
May 2, 2011
94
34
JAMANI YAMENIKUTA NA NAWAOMBA USHAURI, MASWALI KUNIULIZA RUKSA. NIMEHAMIA HAPA DODOMA TOKA MWEZI WA TATU, MWAKA HUU.

WAKATI NIKITAFUTA NYUMBA KUNA DADA MMOJA AMBAYE TUNAFANYA NAE KAZI PAMOJA ALINISAIDIA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA,HAPA NILIPO SASA, NA KWA BAHATI SI MBALI SANA NA NYUMBANI KWAO. CKU YA KWANZA NAHAMIA HAPA NILIMKUTA DADA MMOJA(SI MWENYE NYUMBA NA KWA BAHATI MWENYE NYUMBA ANAISHI KWAKE MBALI NA HAPA.)

ALINIKARIBISHA VIZUURI, NA KUNIKABIDHI UFUNGUO WA NYUMBA. KWA UJUMLA NIKO SINGO NA BEST YANGU MKUBWA NI HUYU DADA TUNAEFANYA NAE KAZI. CHA AJABU TOKA NIHAMIE HAPA, HUYU DADA NILIEMKUTA HAPA AMEKUWA AKINIFUATILIA NYENDO ZANGU,KUANZIA NAAMKA MPAKA MUDA NITAKAO LALA.

KWA BAHATI MBAYA HAPA NINAPOPANGA KUNA NYUMBA KAMA TANO HV AMBAZO ZIMEJENGWA KARIKARIBU.UTAKUTA ANAWAULIZA WENZAKE JANA ALIPOTOKA ILE SAA 1 UCKU ALIRUDI SA NGAPI?


ALIKUWA AMELEWA? ALIKUJA NA MWANAMKE?

MIMI KWAKWELI KWA KUWA SIJAOA BADO, NI MTU WA KWENDA KLABU SANA CKU ZA WIKENDI NA KULA BATA KIDOGO, NA KUNA CKU MOJA ILIBIDI NIMWELEZE HUYU DADA BEST YANGU, ALIYENITAFUTIA HAPA, AKANIELEZA HEBU TUJARIBU KU ACT KAMA MTU NA MPENZI WAKE KWA KAMA WIKI MOJA HV TUONE.

AKAWA AKIJA KAMA SA 1 UCKU TUNAJIFUNGIA NA KUZIMA TAA LABDA MPAKA SA TATU HV AU SAA NNE UCKU LKN NDANI TUNAKUWA TUNAANGALIA TV KWA SAUTI YA CHINI.

CHA AJABU NDO MANENO YAKAZIDI, CKU MOJA ALIKUJA MAMA YANGU MMDOGO KUNITEMBELEA, NILIMSIKIA AKIONGEA KWA SAUTI YA JUU, HEEE HEEEE, LEO KATULETEA KITU KIZEE, MARA OOOH KILA CKU ANAKULA CHIPSI ANAJIFANYA ANA HELA, MARA ANABADILISHA NGUO KILA SIKU KWANI SISI HATUNA?

ANAWASHA REDIO KWA SAUTI HATA SISI TUNAZO TUMEZIZIMA, MMMMH? M

PAKA SASA HAJAAMKA, ALIFIKIRI POMBE NI CHAI/ YAANI NI MAneno kila kukicha, anawakusanya akina mama wa nyumba za jirani na mada kuu ni mimi.

CKU MOJA NIKAAMUA KUMWELEZA UKWELI LAKINI HAJAACHA KUNISEMA. CHA AJABU HAPA NINAPOKAA KUNA VIJANA WENGI TU AMBAO WANAISHI SINGO,na hata wao wamejaribu kuniuliza, kwamba nimemfanyaje huyu dada, nikawajibu hata mimi simwelewi.

LKN KIUCHUMI MIMI NINAEONEKANA NIKO JUU ZAIDI ya hawa vijana wengine hapa ninapokaa. LAKINI PIA HUYU DADA AMESHAZAAA NA ANA WATOTO WATATU SASA ANACHONITAFUTIA NI NINI?

Je ni wivu tuuuu, je ananitaka ila anashindwa kuijeleza, je ni mwanga au mchawi?

Jamani hebu nipeni ushauri ktk hili, nimechoka
 
Naona kama umepanga uswahilini mno, tafuta nyumba maeneo ya kistaarabu zaidi. kwa maelezo yako maneno sioni ufumbuzi mwingine zaidi ya kuhama
 
Punguza kwenda klabu upangishe nyuma ya familia badala ya kuishi kwenye utitiri wa wapangaji
 
Code:
CHA AJABU HAPA NINAPOKAA KUNA VIJANA WENGI TU AMBAO WANAISHI SINGO,na  hata wao wamejaribu kuniuliza, kwamba nimemfanyaje huyu dada, nikawajibu  hata mimi simwelewi.  LKN KIUCHUMI MIMI NINAEONEKANA NIKO JUU ZAIDI ya  hawa vijana wengine hapa ninapokaa.

Hamia mahali ambapo kuna watu wa hadhi yako wasije kukutumia majambazi bureeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
TAITUZA:
It sounds to me , like wewe una-enjoy and ku-entertain upuuzi wa huyo dada. La sihivyo
1. You would have taken time and asked her to seriously butt out of you life long time ago
2. Hao wanaoleta maneno she said, this she said that ungesha wapiga stop already...........i.e jamani eeh "I do not have time for idle gossips"
3. Last but not least, if the situation bothers you so much where do you get time and energy trying to fake a relationship ili ku-mtest!??
 
<br />
<br />
Mie nakwambia atanyamaza saa hz kelele ni kwasababu hiyo

Labda agonge na kukimbia vinginevyo hataweza hata kumleta dada yake hapo. Lakini Dena na mwanamke wa hivyo kweli utamtamani vipi, uswahili full suti
 
kazimika hyo mswahili af anawivu sana inaonekana unapendeza kuliko mumewe ila we tafuta ushuan kidogo ukae huko watakuumiza
 
hama hio nyumba,
atakukosesha amani mpaka lini???eti mpaka unatafuta mtu mnajifanya wapenzi ili kumkomoa,inaonyesha ulivyo tayari kuwa chini ya tricks zake huyo dada,,,,,,,,na yeye atatafuta za zaidi kukukomesha,utakosa amani mpaka lini mwambie huyo mwenyeji wako akutafutie nyumba sehemu nyingine.
 
Huyo anakutaka. Hizo ni hasira za kukukosa. Ila kwa style yake mkaushie maana huyo ukitia timu tu anahamia, ukitaka kuchapa na kupita cha moto utakiona. Tafuta nyumba nyingine na kama unajionesha kuwa upo juu acha.
 
JAMANI YAMENIKUTA NA NAWAOMBA USHAURI, MASWALI KUNIULIZA RUKSA. NIMEHAMIA HAPA DODOMA TOKA MWEZI WA TATU, MWAKA HUU. WAKATI NIKITAFUTA NYUMBA KUNA DADA MMOJA AMBAYE TUNAFANYA NAE KAZI PAMOJA ALINISAIDIA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA,HAPA NILIPO SASA, NA KWA BAHATI SI MBALI SANA NA NYUMBANI KWAO. CKU YA KWANZA NAHAMIA HAPA NILIMKUTA DADA MMOJA(SI MWENYE NYUMBA NA KWA BAHATI MWENYE NYUMBA ANAISHI KWAKE MBALI NA HAPA.)ALINIKARIBISHA VIZUURI, NA KUNIKABIDHI UFUNGUO WA NYUMBA. KWA UJUMLA NIKO SINGO NA BEST YANGU MKUBWA NI HUYU DADA TUNAEFANYA NAE KAZI. CHA AJABU TOKA NIHAMIE HAPA, HUYU DADA NILIEMKUTA HAPA AMEKUWA AKINIFUATILIA NYENDO ZANGU,KUANZIA NAAMKA MPAKA MUDA NITAKAO LALA. KWA BAHATI MBAYA HAPA NINAPOPANGA KUNA NYUMBA KAMA TANO HV AMBAZO ZIMEJENGWA KARIKARIBU.UTAKUTA ANAWAULIZA WENZAKE JANA ALIPOTOKA ILE SAA 1 UCKU ALIRUDI SA NGAPI?ALIKUWA AMELEWA?ALIKUJA NA MWANAMKE?
MIMI KWAKWELI KWA KUWA SIJAOA BADO, NI MTU WA KWENDA KLABU SANA CKU ZA WIKENDI NA KULA BATA KIDOGO, NA KUNA CKU MOJA ILIBIDI NIMWELEZE HUYU DADA BEST YANGU,ALIYENITAFUTIA HAPA,AKANIELEZA HEBU TUJARIBU KU ACT KAMA MTU NA MPENZI WAKE KWA KAMA WIKI MOJA HV TUONE. AKAWA AKIJA KAMA SA 1 UCKU TUNAJIFUNGIA NA KUZIMA TAA LABDA MPAKA SA TATU HV AU SAA NNE UCKU LKN NDANI TUNAKUWA TUNAANGALIA TV KWA SAUTI YA CHINI. CHA AJABU NDO MANENO YAKAZIDI, CKU MOJA ALIKUJA MAMA YANGU MMDOGO KUNITEMBELEA, NILIMSIKIA AKIONGEA KWA SAUTI YA JUU, HEEE HEEEE, LEO KATULETEA KITU KIZEE, MARA OOOH KILA CKU ANAKULA CHIPSI ANAJIFANYA ANA HELA, MARA ANABADILISHA NGUO KILA SIKU KWANI SISI HATUNA?ANAWASHA REDIO KWAAUTI HATA SISI TUNAZO TUMEZIZIMA, MMMMH? MPAKA SASA HAJAAMKA, ALIFIKIRI POMBE NI CHAI/ YAANI NI MAneno kila kukicha, anawakusanya akina mama wa nyumba za jirani na mada kuu ni mimi,CKU MOJA NIKAAMUA KUMWELEZA UKWELI LAKINI HAJAACHA KUNISEMA. CHA AJABU HAPA NINAPOKAA KUNA VIJANA WENGI TU AMBAO WANAISHI SINGO,na hata wao wamejaribu kuniuliza, kwamba nimemfanyaje huyu dada, nikawajibu hata mimi simwelewi. LKN KIUCHUMI MIMI NINAEONEKANA NIKO JUU ZAIDI ya hawa vijana wengine hapa ninapokaa. NA LAKINI HUYU DADA AMESHAZAAA NA ANA WATOTO WATATU SASA ANACHONITAFUTIA NI NINI?je ni wivu tuuuu, je amnanitaka ila anashindwa kuijeleza, je ni mwanga au mchawi?jamani hebu nipeni ushauri ktk hili, nimechoka!

Dogo vipi?... Umelala?...:A S 13::A S 13: Unakaribishwa chakula badala ya kula unakwenda kushtaki kwa mjumbe?.. Hujashtuka kwamba anakutaka huyo? Maneno kumtoka ni kwa sababu analia wivu:rain:
 
Back
Top Bottom