Search results

  1. Sabasaba

    CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Hakuna rushwa hapo, wamepewa huduma wamelipia, basi, walitaka wapewe bure?
  2. Sabasaba

    Kwanini 'military takeovers' zimerudi kwa kasi Afrika?

    you got it right mate, world transition from unipolar to multipolar world ndio trigger ya haya yanayoendelea kwenye regime change. ila France ana wakati mgumu aiseeh, ni kama mwanamke amekuchoka halafu hutaki kuachika
  3. Sabasaba

    Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

    ni kama utani lakini ndio uhalisia wenyewe hao Watusi wanapewa kiburi na jamii ya NATO miaka mingi ndio maana kuna propaganda za western kumfanya yeye ndio kiongozi bora wakati anaexploit madini ya Congo miaka mingi-bomu la nyuklia lilipigwa hiroshima lilizalishwa na madini kutoka Congo miaka...
  4. Sabasaba

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukifautilia hii vita unaona kabisa kuna tofauti ya shabiki wa ngumi za Mandonga anayetafasiri vita vya Russia na Ukraine, hii ni vita inayoenda kuibadilisha dunia kutoka Western giants wakiongozwa na US na UK mpaka kupata NATO ya 'ASIA PACIFIC' ambao wanajivunia populations kubwa ambayo ndio...
  5. Sabasaba

    Uzi maalum wa maisha ya wanyama na tabia za kushangaza

    Mnamjua mnyama anaitwa Bonobo lakini? tabia zake za kujamiiana? naishia hapo
  6. Sabasaba

    Mbaroni kwa matumizi ya Lugha ya Matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya

    Ms. Siriel Shaidi Mchembe Specialist of Social Protection and Women’s Entrepreneurship, Institute of Financial Management, United Republic of Tanzania Ms. Siriel Shaidi Mchembe is a District Commissioner at Gairo District, Morogoro Region Tanzania. She is a Deputy to H.E Hon. Samia Suluhu Hassan...
  7. Sabasaba

    Zitto aliwezaje kusoma vitabu 48 na hapo hapo kukesha twitter?

    Kwa hili kama linaleta mjadala nadhani watanzania wenzangu hususan vijana tunaanza kukosa maarifa ya msingi, kusoma vitabu ni hobby kama walivyo walevi wa pombe na ngono, kuna anayekunywa bia mbili na mwingine pampula. Kuna wasomaji wazuri tu wa vitabu na wanajulikana huwa wanasoma mpaka zaidi...
  8. Sabasaba

    Vitabu nilivyosoma mwaka 2018 – Zitto Kabwe

    Atakuwa anasafiri sana flight ya saa moja na nusu unaweza soma page mpaka mia za kitabu
  9. Sabasaba

    Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

    Hii record ikitokea haitakuja kuvunjwa tena iko very unique
  10. Sabasaba

    Anahitajika mtaalamu wa kuendesha mradi wa nyuki

    Ninahitaji mtaalamu wa nyuki kuendesha na kusimamia kalenda ya ufugaji nyuki, uvunaji na packing. Awe na elimu ya Diploma au cheti na uzoefu wa mambo ya nyuki na awe tayari kukaa shambani kwa zaidi ya asilimia 60 ya muda wake. Nyumba ya kuishi ipo na huduma za msingi zinapatikana kwa mazingira...
  11. Sabasaba

    Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Research yangu ya kwanza umesoma vitabu vingapi ambavyo ni fact book au biography vya hao uliowataja hapo juu, manake ukianza na Bill Gates yeye anajijua ana kipaji cha biashara na ameajiri hao hao maprofessor na madoctor wasome wakiendeleza biashara yake, haina maana kwamba ana akili kuwazidi...
  12. Sabasaba

    Hivi Maprofesa na PhD candidates wanapublish wapi paper zao hapa Tanzania?

    Huu uzi umevamiwa, sio lazima uchangie kila post yawezekana hii sio size yako, kuitwa Prof au Dr ni lazima upitie mchujo wa shule ya msingi, upite mchujo wa shule ya sekondari, upite mchujo wa chuo kikuu, umalize degree ya kwanza etc!! haina uhusiano na pesa. Hawa wasomi ndio wamezifikisha nchi...
  13. Sabasaba

    Mfahamu Camilo Cienfuegos wa Cuba!!

    Potrait picture ya Che Guavara ndio picha inayoongoza kwa umaarufu ikifuatia picha ya potrait ya Yesu, yaani potrait ya Yesu ni maaruf zaidi ikifuatiwa na potrait ya Che Guevara, ndio maana Maadui zake walimuua na kumpoteza kabisa ili isijulikane amezikwa wapi kwani kuna watu walikuwa kama...
  14. Sabasaba

    Tanzania SGR inajengwa Usiku na Mchana.

    Masanja Kadogosa yuko vizuri ni mmoja wa vijana wanaowakilisha vyema vijana wengine kwenye awamu hii ya Tano, wanafanya kazi zinaonekana, akaze zaidi tuone mafanikio ya hii kazi!
  15. Sabasaba

    Mke wa Waziri Mkuu wa Lesotho auawa kwa kupigwa risasi alipokuwa akirejea nyumbani kwake

    Walishaachana na Prime Minister toka mwaka 2012, afu akarudi kwa gia ya kumshitaki mahakamani mke mdogo ili yeye awe first lady
  16. Sabasaba

    Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    Huyu Professor Mruma ameshindwa kutumia uzoefu alionane na connection ya wanafunzi wake kumsaidia Rais, kwani alikuwa na mamlaka ya kumuita mwanafunzi wake yake yeyote na kulinganisha data zake kama ziko sahihi
Back
Top Bottom