Iran hii jeuri ya kupitisha mizinga juu ya Bunge la Israeli "Knesset" anaitoa wapi?

Ingekuwa hizo drones na Balistic misiles zimetoka kwa Wapalestina wangesema zimeua watu wengi na watoto na zimefanya uharibifu mkubwa ili wapate sababu ya kuwapiga mabomu Wapalestina. Na mpaka dakika hii wangeshaingia Gaza na kuua watu kwa mabomu maelfu kwa maelfu...

Lakini kwa sababu zimepigwa kutoka Iran wamebadili strategy sasa wanajifanya hakuna madhara yeyote ili waonekane hawana sababu ya kupigana na Iran. Wanajitahidi sana kutumia media za west kuonyesha hakuna madhara yeyote ili wasionekane madhaifu kwa kushindwa kupigana na Iran.

Kama yeye mwanaume kweli amvamie Iran sio kubwabwaja kwenye media.. si wanajidai wana power ? mbona wameufyata sasa..wanakaribishwa vitani

Pamoja na msaada wa fedha, vifaru na mandege vita na kila kitu kutoka western countries lakini bado Israel ni dhaifu kuliko Hamas isiyo hata na kifaru kimoja
 
Iran ilichofanya ni kutoa ujumbe kwamba inaweza kushambulia Israel wakati wowote na kuua mamia ya askari au raia wa Israel endapo watahitaji kufanya hivyo, ni kama shambulizi walilofanya kwenye zile bases za US wakati wa Trump kulipiza kisasi cha kifo cha Qassem Soleiman, walitoa taarifa mapema watashambulia base za US na hakukuwa na namna yeyote ya kuzuia shambulizi hilo, hii inamaanisha wangeweza kufanya shambulizi baya na kuua askari mamia kwa maelfu wa US na EU na kwa shabaha ya hali ya juu katika shambulizi la kushtukiza, lakini kwa nini unaua askari vijana wasio na hatia wenye familia zao wamekwenda Iraq kutekeleza majukumu ya kazi zao kisa ujinga wa wanasiasa?

Na sasa ni kwa Israel, Iran imetoa taarifa juu ya shambulizi na Israel ikawa makini kujipanga kuzuia shambulizi lakini haikuwa hivyo. Missiles zimeingia Israel na kupita nchi kadhaa bila kuzuiwa.

Je Iran ilishindwa kupiga makazi ya raia wa Tel Aviv na kuua maelfu?

Iran wamesema walikuwa wame target kupiga kambi za kijeshi na wamefanikiwa ku target na kuipiga kambi ya Israel inaitwa Nevatim iliyotumika kushambulia balozi ya Iran pale Syria hivi karibuni.

Katika historia inasemekana ni kwa mara ya kwanza kwa nchi kushambulia kwa mara moja kwa kutumia drones nyingi zaidi.

Israel ikijaribu kupiga makazi ya watu pale Iran, Iran haitakiwa na option zaidi ua kupiga makazi ya watu pale Israel, hivyo Israel haiwezi kujibu.

Israel haina uwezo kuzuia mashambulizi ya Iran kwa asilimia 100.

US hawakurupuki kusema hawatojibu shambulizi la Iran, kwa siri nzito ambayo hawataki kusema hadharani wanafahamu uwezo wa Iran.

Hata hivyo Iran kutuma drones nyingi kiasi kile ni ku confuse mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel, hii ndio ilipelekea wakapiga targets walizokuwa wanahitaji kuzipiga na kufanikiwa. Hizo drones wanaita Shahed 136 kwanza zina kelele na zinakwenda mwendo usio na kasi sana, ni nafuu sana kuzitengeneza lakini ni ghali sana kuzizuia, missile ya kuzuia Shahed 136 ni almost $1 million, hivyo Iran ilifahamu fika Israel wangeweza kuzuia hizo shahed drones lakini kwa gharama kubwa, lakini wana drones zenye kasi kama shahed 238 zenye kasi zaidi.

Wachambuzi wa masuala ya kijeshi kutoka US na EU wanakiri kwamba Israel haina uwezo kukabiliana kijeshi na Iran moja kwa moja zaidi ya kumshirikisha US na EU.
Wamekiri wapi bwana, hao ni wachambuzi wa maswala ya kijeshi kutoka Mkuranga na Maneromango na wala sio US na EU tunazo fahamu.
 
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni .sehemu nyeti kama hizo huwezi kusikia rocket au bomu limepita.

Iran katuacha vinywa wazi jumamosi iliyopita baada ya kupitisha Ballistic missiles juu ya Bunge la Israeli siyo kitu cha kawaida.

Ushauri wangu hii ni dharau kubwa sana kwa taifa kama la israeli hatua za haraka sana tena za nguvu zitumike kuijibu Iran kwa kitendo hiki ambacho hatujaona kikitokea katika nchi zingine mashuhuru hapa ulimwenguni (japo Israel ni nchi ya mchongo).

View attachment 2966784
Vijana wa MUDI mnapenda sana kujifariji
 
Iran ilichofanya ni kutoa ujumbe kwamba inaweza kushambulia Israel wakati wowote na kuua mamia ya askari au raia wa Israel endapo watahitaji kufanya hivyo, ni kama shambulizi walilofanya kwenye zile bases za US wakati wa Trump kulipiza kisasi cha kifo cha Qassem Soleiman, walitoa taarifa mapema watashambulia base za US na hakukuwa na namna yeyote ya kuzuia shambulizi hilo, hii inamaanisha wangeweza kufanya shambulizi baya na kuua askari mamia kwa maelfu wa US na EU na kwa shabaha ya hali ya juu katika shambulizi la kushtukiza, lakini kwa nini unaua askari vijana wasio na hatia wenye familia zao wamekwenda Iraq kutekeleza majukumu ya kazi zao kisa ujinga wa wanasiasa?

Na sasa ni kwa Israel, Iran imetoa taarifa juu ya shambulizi na Israel ikawa makini kujipanga kuzuia shambulizi lakini haikuwa hivyo. Missiles zimeingia Israel na kupita nchi kadhaa bila kuzuiwa.

Je Iran ilishindwa kupiga makazi ya raia wa Tel Aviv na kuua maelfu?

Iran wamesema walikuwa wame target kupiga kambi za kijeshi na wamefanikiwa ku target na kuipiga kambi ya Israel inaitwa Nevatim iliyotumika kushambulia balozi ya Iran pale Syria hivi karibuni.

Katika historia inasemekana ni kwa mara ya kwanza kwa nchi kushambulia kwa mara moja kwa kutumia drones nyingi zaidi.

Israel ikijaribu kupiga makazi ya watu pale Iran, Iran haitakiwa na option zaidi ua kupiga makazi ya watu pale Israel, hivyo Israel haiwezi kujibu.

Israel haina uwezo kuzuia mashambulizi ya Iran kwa asilimia 100.

US hawakurupuki kusema hawatojibu shambulizi la Iran, kwa siri nzito ambayo hawataki kusema hadharani wanafahamu uwezo wa Iran.

Hata hivyo Iran kutuma drones nyingi kiasi kile ni ku confuse mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel, hii ndio ilipelekea wakapiga targets walizokuwa wanahitaji kuzipiga na kufanikiwa. Hizo drones wanaita Shahed 136 kwanza zina kelele na zinakwenda mwendo usio na kasi sana, ni nafuu sana kuzitengeneza lakini ni ghali sana kuzizuia, missile ya kuzuia Shahed 136 ni almost $1 million, hivyo Iran ilifahamu fika Israel wangeweza kuzuia hizo shahed drones lakini kwa gharama kubwa, lakini wana drones zenye kasi kama shahed 238 zenye kasi zaidi.

Wachambuzi wa masuala ya kijeshi kutoka US na EU wanakiri kwamba Israel haina uwezo kukabiliana kijeshi na Iran moja kwa moja zaidi ya kumshirikisha US na EU.
Interesting
 
Mpaka sasa
Israel imepoteza binti mmoja
Iran imepoteza majemedari saba.

Wazee wa kubet hii inaitwaje.
 
Jamaa wako njiani we endelea kuota tu.
Ayatollah kashajificha kaacha msala huku wacheze nao.
 
Hawana ujanja wala uwezo wa kurudisha mapigo. Kwanza silaha za kufika Iran hawana, lakini pia uwezo wa kuingia vitani na Iran peke yao hawana pia.
Mbona hatujiulizi Nchi jirani kama Rwanda na DRC zinavyopitisha bidhaa zao Dodoma?
Kwani Anga la Israel hakuna free zone hata kama ni juu ya bunge?..mbona tunatanguliza mashaka sana
 
Back
Top Bottom