Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 10,026
- 20,264
wakati anamuoa vicky, sijui kwa ndoa ya bomani au ya wapi, ndoa yake ya awali bado ilikuwa hai (hakutoa talaka) na mke wake wa awali bado alikuwa hai. kufunga ndoa ya pili wakati ile ya awali bado ipo hai ni batili, inaifanya ndoa hiyo ya pili kuonekana kuwa bure kabisa ni sawa na hakuna kilichofungwa, na hata wakikaa kinyumba miaka miwili au zaidi presumption of marriage haiwezi kumuokoa kwasababu presumption of marriage huwa haiokoi mahawara walioishi pamoja na mwanadoa inayoendelea. vicky alikuwa hawara tu, hakuwa mke, na hana haki yeyote pale. ndivyo mahakama ilivyosema. na mahakama ipo sahihi. gold diggers mkome.Ndoa ya kikristo haina wake wawili na huyo mzee anasemekana ana mkewe ...Ina maana ypo ndani ya ndoa yey huyo Vicky ni danga hata kama wamezaa hapa ndio tatizo.