Mbaroni kwa matumizi ya Lugha ya Matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya

Maneno ya bar wanayapeleka kuyafungulia kesi nadhani waliofungua kesi ndio walitakiwa washtakiwe...
 
Mbona Shabiby hajashtakiwa?vidagaa vinaonewa.
Na kwanini huyu DC atukanwe na kila mtu?
 
wote wanne wametamka sentensi hiyo kwa pamoja???

kwanini muendesha mshtaka anamaanini kuwa wanamzungumzia mkuu wa wilaya husika wakati hakuna popote walipotaja jina lake????
Hapo ndipo hii kesi itakapotupiliwa mbali , ndio kilichoshindikana kwenye kesi ya Mh Lema na Mkewe dhidi ya Mrisho Gambo , kwamba watu wawili kwa wakati mmoja na kwa kutumia simu moja eti walimtumia sms ya matusi Mh RC
 
Kwani Haujui Kwamba Siriel Ni Dc Wa Gairo iliyoko Mkoa Wa Morogoro?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ms. Siriel Shaidi Mchembe Specialist of Social Protection and Women’s Entrepreneurship, Institute of Financial Management, United Republic of Tanzania Ms. Siriel Shaidi Mchembe is a District Commissioner at Gairo District, Morogoro Region Tanzania. She is a Deputy to H.E Hon. Samia Suluhu Hassan the Vice President of the United Republic of Tanzania; Secretary General High Level Panel, Women's Economic Empowerment. She has Masters Degree of Business Administration (MBA) Corporate Management. Before June, 2016 she worked as a Lecturer at the Institute of Finance Management. She is a specialist of Social Protection and Women's Entrepreneurship. Before September 2011, she had held several managerial positions that involved extensive leadership and supervisory skills for more than 8 years at PPF Pensions. She held positions like Contributions Manager, Pensions and Customer Care Manager. She also worked with the Ministry of Finance - Tanzania, Treasury as Pensions Manager - Government. She is a consultant in Social Protection and Women's Entrepreneurship. Other technical positions held are Board member Christian Magazine in the name of 'Jibu la Maisha and Board Member City Christian Center, Tanzania Assemblies of God Church. At different levels she facilitated development of Strategic Plan, Compliance and Benefit Manual, Customer Care Policy, Customer Care Charter and timely and accurately payment of members' benefits through effective use of Information and Communication Technology (ICT). Other consultancy that she had are East and Central Africa Social Security Association (ECASSA) as a Council Member and Facilitator.
 
..mbona Musiba anatukana viongozi wa vyama vya upinzani lakini hachukuliwi hatua?

Japo Msuba haulindwi na Katiba kama Si-a-ji. Ila ulinzi wa Msuba si wa kitoto pia. Amehakikishiwa usalama wake. Labda itokea akishatumika na ile his business is no longer needed !!
 
Back
Top Bottom