Big boy toys! FAB-1000 in action in Ukraine. It’s safe to say that it is highly unlikely any VSUshnik in the vicinity survived

(VSUshniks = Ukrainian troops)

Sema hii vita watu wanakufa sana..hasa wanaume na vijana...Kweli DIPLOMASIA ya sasa imeshindwa kumaliza huu mzozo kweli??Hamna kitu kisichozungumzika...hapa haijarishi nani mnyonge, nani ananguvu au nani ana haki na nani hana haki.....Wanafunzi wa diplomasia na watu wadiplomasia hii inaweza kuwa case study na reference:THE TOTAL FAILURE OF DIPLOMACY TO END OR STOP RUSS-UKRAINE CONFLICT
 
Which world?

Tangu Russian Federation iivamie Ukraine wewe umenufaikaje na uvamizi huo? Mabadiliko gani chanya nchi za Africa imeyapata kwenye huo utumbo wa multipolar?
Unaiona hiyo more just world order Zimbabwe, Congo, Somalia, Mnymar au Burundi??
Hakuna multipolar world mpaka sasa..labda kama ipo kwenye process...kama hii vita italeta hiyo multipolarity tutaweza pata comparison in five years huko
 
Hili swala humu lime kuwa kubwa sana kiasi yaani utitiri wa mambo ya kitoto umekua mkubwa mpaka tumepoteza hali halisi ya dira ya Uzi huu ,Kuna watu kama akina galip walikua wakitema madini konki tupu japo wapo baadhi waliobaki ila hats hao wamepunguza morali ya uandishi,.Pro NATO. hawapendi kuambiwa kweli,hawa wanachukulia vita kama Moira wa miguu, pia kuna mdau aliesema watanzania wengi tuna matatizo ya akili nime mwunga mkono kwa wingi huo basis humu wamejaa na ndio wanao tusumbua humu.
Ukifautilia hii vita unaona kabisa kuna tofauti ya shabiki wa ngumi za Mandonga anayetafasiri vita vya Russia na Ukraine, hii ni vita inayoenda kuibadilisha dunia kutoka Western giants wakiongozwa na US na UK mpaka kupata NATO ya 'ASIA PACIFIC' ambao wanajivunia populations kubwa ambayo ndio nguvu za kiuchumi, sio kurusha mabomu
 
💥 Russian paratroopers at Nikolayev-Krivoy Rog direction

#HeroesZ #Russia #Ukraine
@mod_russia_en

IMG_20220911_162624_301.jpg
IMG_20220911_162619_636.jpg
IMG_20220911_162615_015.jpg
 
Putin aliivamia na kuitwaa kabisa Crimea 2014. Diplomasia na sanctions dhaifu havikuweza kuirudisha Crimea kwa Ukraine mpake leo. Inaonekana West nao wamechoka kufanya appeasement wameamua iwake tu.
Diplomasia kwa tyrants wakati mwingine huwa wanaichukulia kama ishara ya udhaifu.
Sema hii vita watu wanakufa sana..hasa wanaume na vijana...Kweli DIPLOMASIA ya sasa imeshindwa kumaliza huu mzozo kweli??Hamna kitu kisichozungumzika...hapa haijarishi nani mnyonge, nani ananguvu au nani ana haki na nani hana haki.....Wanafunzi wa diplomasia na watu wadiplomasia hii inaweza kuwa case study na reference:THE TOTAL FAILURE OF DIPLOMACY TO END OR STOP RUSS-UKRAINE CONFLICT
 
Sema hii vita watu wanakufa sana..hasa wanaume na vijana...Kweli DIPLOMASIA ya sasa imeshindwa kumaliza huu mzozo kweli??Hamna kitu kisichozungumzika...hapa haijarishi nani mnyonge, nani ananguvu au nani ana haki na nani hana haki.....Wanafunzi wa diplomasia na watu wadiplomasia hii inaweza kuwa case study na reference:THE TOTAL FAILURE OF DIPLOMACY TO END OR STOP RUSS-UKRAINE CONFLICT
Screenshot_20220911-164901_Twitter.jpg
 
Dunia inapotaka kufanya "Reset" lazima Vita kubwa ipiganwe. Baada y hapo dunia itatafuta balance na new formation ya dunia itatokea.

Hii Vita ya Ukraine ni Vita kubwa (ya mabwana wakubwa), kwa hiyo, baada ya hii Vita mabadiliko mengi ya kidunia yatatokea.

Then, hapa ndio diplomacy itaendelea kufanya kazi yake ..
 
Kwa hiyo after 30 years wangeweza kujiunza NATO...?

Unajua Mara nyingi nakuona una post hiya maneno ya Olaf.

Ni hivi, promise za namna hii, zilitolewa miaka 30 huko wakati USSR inasambaratika. Kwamba NATO isingesogea kutoka pale West German. Je, Leo hii wako wapi?

Russia walikuwa wanataka written guarantee ya huyo Ukraine kutojiunga NATO, Sasa kwa nini US alikataa kutoa hiyo Written guarantee?
 
Sema hii vita watu wanakufa sana..hasa wanaume na vijana...Kweli DIPLOMASIA ya sasa imeshindwa kumaliza huu mzozo kweli??Hamna kitu kisichozungumzika...hapa haijarishi nani mnyonge, nani ananguvu au nani ana haki na nani hana haki.....Wanafunzi wa diplomasia na watu wadiplomasia hii inaweza kuwa case study na reference:THE TOTAL FAILURE OF DIPLOMACY TO END OR STOP RUSS-UKRAINE CONFLICT
Diplomacy serves the strongest....Mpaka sasa dunia ilikuwa chini ya west yaani USA na nchi makuwadi wake plus NATO. PUTIN is trying to change this, and I can say in earnest he is winning in this mission....If you remember UN iliikataza USA, NATO na west kutoishambulia Iraq, lakini kwa ujeuri mkubwa hiyo haikusaidia. Wakaishambulia Iraq wakamuua Sadam Hussein na kuisambaratisha Iraq nq qmbayo mpka sasa tunaweza kusema nchi hiyo haitawaliki....Kwa Libya ilikuwa hivyo hivyo wakamuua Mummar GADHAFI NA KUISAMBARATISHA lIBYA. Dgambi ya Saddam na Muammart haikuwa udikteta. Dhambi yao ni kutaka dollar isiwe fedha ya dunia na baadala yake nchi zote duniani zitumie vigezo vya dhahabu kama rate of exchange......Serbia nayo ilipigwa kwa kile kinachoitwa carpet bombing....Yaani mabomu yanarindima non stop na kupiga nchi and everything wakiwemo raia kwa kisingizio cha 'collateral damage' . Yaani ni unyama wa kutisha. Huko Ukraine PUTIN anafanya ubinadamu 'uliopitiliza' kwa kuwajali raia wakati wa vita. Milosevic wa Serbia naye alijkufa akiwa gerezani lakini inasadikiwa alililishwa sumu.

Diplomacy kwa dunia ya sasa haiwezi kufanikiwa kamwe mpaka unipolar world itokomezwe.
 
Hili swala humu lime kuwa kubwa sana kiasi yaani utitiri wa mambo ya kitoto umekua mkubwa mpaka tumepoteza hali halisi ya dira ya Uzi huu ,Kuna watu kama akina galip walikua wakitema madini konki tupu japo wapo baadhi waliobaki ila hats hao wamepunguza morali ya uandishi,.Pro NATO. hawapendi kuambiwa kweli,hawa wanachukulia vita kama Moira wa miguu, pia kuna mdau aliesema watanzania wengi tuna matatizo ya akili nime mwunga mkono kwa wingi huo basis humu wamejaa na ndio wanao tusumbua humu.
Kiukweli uzi umepoteza dira kiaina, taarifa zimekua chache huku kuvimbiana nani mbabe ndio kumejaa kama watoto vile.

Sijawahi kuona mahala mtu mzima akashindana hoja na mtoto mjadala ukaisha kwa ushindi upande wa mtu mzima. Kwa7b Mtu mzima atakuwa anaelimisha huku mtoto akiwa anajipatia burdani kwenye michezo yake.

Sasa Saturday to Friday mchana jioni usiku, ni upande kuita warusi wadhaifu upande wa pili ukifanya kutetea. Hadi kuna jamaa zangu hapa imenibidi niwa'ignore tu na wao. Sio kwamba wako zero hapana wanajua sana vitu ila wanajisahau kama kum'prove chizi wrong ni kujidharirisha tu.

Kuna watu huwa wanapaswa kuachwa kama walivyo. It's disgusting mno, Hakuna mvuto wa kuzungumza kiukweli. So wacha tuendelee kuwa wapitaji.
 
Kwa hiyo after 30 years wangeweza kujiunza NATO...?

Unajua Mara nyingi nakuona una post hiya maneno ya Olaf.

Ni hivi, promise za namna hii, zilitolewa miaka 30 huko wakati USSR inasambaratika. Kwamba NATO isingesogea kutoka pale West German. Je, Leo hii wako wapi?

Russia walikuwa wanataka written guarantee ya huyo Ukraine kutojiunga NATO, Sasa kwa nini US alikataa kutoa hiyo Written guarantee?
Ungeanza kwanza kujiuliza kwa nini Ukraine itake kujiunga NATO kabla ya kuanza kuuliza kama baada ya miaka 30 itajiunga.

Hakuna promises yoyote iliyoweka kwamba NATO isingesogea kutoka West Germany, hizo ni porojo tu.Katika NATO- Russia founding Act ya 1997 Russia iliridhia kila nchi huru kujiamulia mustakbali wake ikiwa ni pamoja na kujiunga na alliances ambazo inaona zina manufaa kwake.

Russia ilikuwa inasapoti uasi mashariki mwa Ukraine, iliichukua Crimea, inasapoti uasi katika majimbo kadhaa ya Georgia halafu juu ya hayo bado inataka written guarantee ya Ukraine kutojiunga NATO!!! Sasa Ukraine ingebaki na leverage gani kwa adui anayetishia sovereignty na existence yake kama taifa ??!
Halafu unafahamu Written guarantee ya US kuhusu NATO ni suala la Congress sio la Rais? Hiyo ishu ingefika Congress ya US isingepata hata robo ya kura za Republicans tu.
 
Back
Top Bottom