Wanafunzi na walimu wa GEOGRAPHY (A - level) Jipatieni kitabu kipya cha Practical Geography kilichosheheni topics zote za Practical Geography: Statistics, Research, Chain, Compass, Plain Table Surveying na Levelling; Map Reading na Photograph Interpretation.
Kitabu kimeandaliwa na Mtaalam wa...
Wanafunzi na walimu wa GEOGRAPHY (A & O level) Jiwezeshe katika somo kwa kitabu kipya cha Practical Geography kilichosheheni topics zote za Practical Geography: Statistics, Research, Chain, Compass, Plain Table Surveying na Levelling; Map Reading na Photograph Interpretation. Kitabu kimeandaliwa...
Huu ni mkasa wa kweli umemtokea ndugu yangu
Nilikutana na binti mmoja ambaye alikuwa akiishi kwa shemeji yake (mume wa dada yake) ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu sana. Nikampenda sana binti huyu na tukawa na uhusiano wa karibu kwa muda mrefu. Baada ya kuona tabia njema ya binti huyu...
Kutokana na mchango wao katika kushawishi na kushabikia mgomo wa madaktari na kuushawishi umma kuamini kuwa vurugu na migomo ndio njia pekee ya kudai maslahi nadiriki kusema kundi hili la jamii ni hatari kama vikundi vya kigaidi. Nielewavyo mimi vikundi hivi vinapaswa kuishia kutoa elimu na...
Linasomeka gazeti la Jamhuri katika kichwa chake cha habari Juni26, 2012, likufuatia kichwa cha habari kinachofanana na toleo lililopita. Hivi Kuna ukweli juu ya hili au ni fitna za kisiasa kwani maelezo ya ndani ya habari hii hayaonyeshi wazi juu ya usaliti huu isipokuwa sakata la TANAPA na...
Story hii ni joke ya ukweli. Mchaga walikuwa wakipiga story za mademu na msambaa. Ikaenda hivi: Msambaa: We mangi skiza, jana nlikuwa na demu angu si nkampiga denda mpaka akalegea afu nkashikashika nyeti zake mpaka akakojoa aisee... Mchaga: Aise Mgosi we ni **** kweli... Unapeleka mkono huko...
Kwa kawaida kiongozi akitoa kauli au tamko jamii inafahamu kuwa anamaanisha. Hii ni kutokana na imani yetu kwamba kiongozi anapozungumza anakuwa well informed na kauli yake inatokana na taarifa sahihi. Kwa utafiti mdogo nilioufanya unaonyesha kuwa kwa Tanzania suala hili ni kinyume chake kwa...
Ndugu wana JF, Ni falsafa yangu inanituma kuamini kuwa ipo siku hali ya UTULIVU katika nchi hii itakwisha kutokana na dalili ninazoziona na mwisho AMANI tuliyonayo kutoweka. Kwa mtazamo wangu hali hii yaweza kutokea kutokana na mchango mkubwa wa vyombo vya habari katika kushabikia FUJO...
Kila ninaposafiri kwenda mikoani nakutana na hali hii ya uharibifu wa uoto wa asili katika maeneo mbalimbali. Kwanini hali hii inaendelea kutokea katika kipindi hiki ambapo kampeni za utunzaji mazingira zinafanyika kila kona ya nchi.
Wana JF nifungueni katika hili. Wabunge kulipia ada wanafunzi ni PUBLIC RESPONSIBILITY ya mbunge au ni RUSHWA kwa wapiga kura. Ninaelewa kuna mfuko wa kusomesha wasiojiweza katika Halmashauri ingawa sifahamu unavyoendeshwa. Kwa hili naona lina utata. Kama ni sehemu ya wajibu, na wazazi wafanye nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.