Search results

  1. Mantown

    Mpigie Kura Diamond kwenye tuzo za Radio Afro Australia-2016, wimbo wa KIDOGO

    Dimond waueeeeeee!!!!!!! Wanatoka mapovu
  2. Mantown

    Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    Magufuli hana mpinzani
  3. Mantown

    Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    Kiukweli inakera sana kuona watu wanacheza sebene na miziki ya ovyo na wachungaji wanaona huu ni ujinga mkubwa sana na wao pia wanaangalia tu sadaka zao ila maadili hawafundushi mm wananikera viongozi wa dini
  4. Mantown

    RC Makonda amuweka ndani Mwenyekiti Serikali ya Mtaa akiwa mkutanoni

    Nyie watanzania wote mnaempinga makonda ni manyumbu watupu na mangadu kabisa hamnazo yaani nchi imeliwa na wapuuzi wachache bado mtu anawawajibisha mnamkosoa kumbe hili ni taifa la watu wpumbavu watupu amna shukrani kabisa mungu, makonda piga kazi wanyooshe tu
  5. Mantown

    Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

    Ila kama mwanamke ajakuzoea awez imbalance hela koz ya kuona aibu
  6. Mantown

    Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

    Jaman maisha ya Leo pesa ndo kila kitu
  7. Mantown

    Akina Dr. Mwaka na mwenzie Ndodi wameacha madhara makubwa sana kwenye jamii

    Mtoa Mada umejikanyaga Kwanzaa Mimi mwenyewe nishawai kutumia Dawa ya meno ambayo alinitengenezea ndodi na sijawai umwa jino tena Ila tuwatanzania wengi ni wavivu wa kufikiria na kufatilia ikiwemo kutozingatia masharti
  8. Mantown

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    alisema ukweli kila kitu je ni kipi alipindisha?
  9. Mantown

    Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

    vipi umeshaanza kuondoka? maana mzee keshachukua nchi kule
  10. Mantown

    Kweli maisha ni kama zali la mentali, sikutegemea kama angekuja kuwa mbunge wa CHADEMA

    hyo sio photoshop hyo ni katka wimbo flani ivi wa profesa j na ilikuwa kitambo sana
  11. Mantown

    Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

    Mi cjui juu ya hayo karibuni dar wote mnaobishana mje mbishanie uku
  12. Mantown

    Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Tatizo fikra mnawaza utumbo SAA zote
  13. Mantown

    Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Mtoa uzi unamatatizo ya uelewa na fikra ila kama unaona ishu haipo ivo basi kamtoe ndani uyo alomtoboa mwenzie macho afu umfunge saidi ally
  14. Mantown

    Aliyetolewa macho yawezekana yeye ndiye mkosaji

    Ivi ni nani mwenye kosa mendaji au mtendewa Kwa maana mtendewa tmeona alichofanyiwa na kama ilikuwa ni mhalifu he ni kwann apigwe na MTU mmoja badala ya wananchi wote? Kosa analo alomtoa macho uyu jamaa
  15. Mantown

    Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

    Jk alisema angependa akaishi Kyle badala ya kuishi wapi?
  16. Mantown

    Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

    Huu ni ushamba tu makes to kama wachunga ng'ombe.
Back
Top Bottom