Mantown
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 265
- 40
Tatizo fikra mnawaza utumbo SAA zoteScorpion atafutiwe wakili mzuri. Wale wanaoamini scorpion alikuwa sahihi wahamasishane wachangishe ili hela ipatikane atafutwe wakili wa kumtetea. Nahisi mtobolewa macho ni kiongozi wa wezi maana fikiria kuna mzungu alikufa baada ya kuibiwa mkoba na wezi kama mtobolewa macho. Na inauma sana wewe kama ulishaibiwa maana vibaka wa dar wanakera.