Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

Hivi unasubirije mpenzi wako akwambie naomba?
Kwani we hujui km anamahitaji?

Siyo wote wenye ujasiri wa kusema naomba, mjiongeze wakuu.
unafanyakazi nianze kukupa hela kwa ajili ya nini? labda useme shida yako tena ya msingi
 
Huwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
Kuna mambo mawili hapo :
1. Ametarget ndoa
2. Amekupenda tu ( na usishangae yeye ndio akakupa pesa)
 
Unatakiwa ujue wajibu wako sasa unasubirii uombwe. Idadi ya wanaume duniani hasa tz inapungua.. Kua mwanaume be responsible.
 
Huwaga mnakariri. Sio kila mwanamke anaomba pesa. Labda experience yako ndo imekufanya ukaogopa.

Hela ina nafasi katika mahusiano but in a different way from the one you are used to.
nimekuelewa wewe utakuwa ni mdada ndio maana umeongea ya msingi sana
 
Huwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
Una nyota ya kuhonga we mpe tu usisubiri akumbe
 
Binadamu nyie hamna jema kila siku mnalalamika wanawake wanapiga mizinga sana mwingine anaibuka anaogopa wasio omba kwahiyo mnataka nini kwa wanawake, na kwanini mpaka mtu akuombe kwani wewe hujui wajibu wako? Mnakaribisha wengine wawatunzie kisha mnaanza kulia lia humu jf.
kama mie wajibu wangu kukupa hela acha kazi nikuhudumie
 
Back
Top Bottom