Kuna mambo mawili hapo :Huwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
nimekuelewa wewe utakuwa ni mdada ndio maana umeongea ya msingi sanaHuwaga mnakariri. Sio kila mwanamke anaomba pesa. Labda experience yako ndo imekufanya ukaogopa.
Hela ina nafasi katika mahusiano but in a different way from the one you are used to.
Una nyota ya kuhonga we mpe tu usisubiri akumbeHuwa simwelewi kabisa mwanamke wa aina hii anataka nini kwa mwanaume, akisema anataka mapenzi tu najua tu huo ni uongo ni sawa na shetani akuambie bwana Yesu asifiwe unashindwa kuelewa uitikie ameni au umkemee.
kama mie wajibu wangu kukupa hela acha kazi nikuhudumieBinadamu nyie hamna jema kila siku mnalalamika wanawake wanapiga mizinga sana mwingine anaibuka anaogopa wasio omba kwahiyo mnataka nini kwa wanawake, na kwanini mpaka mtu akuombe kwani wewe hujui wajibu wako? Mnakaribisha wengine wawatunzie kisha mnaanza kulia lia humu jf.
kuwa na kazi au kutokuwa nayo sio sababu yakujiachia utakula vilivyo nunuliwa na wenziokama mie wajibu wangu kukupa hela acha kazi nikuhudumie