Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

Shalom Nyote!

Leo Jumapili Hii Nipo KIROHO Zaidi Ila Sitaki Ipite Hivi Hivi Bila Kutoa DUKU DUKU Langu Nililonalo Kwa Kipindi Sasa.

Hivi Sisi WAKRISTO Ni Kwamba Siku Hizi Tumepiga MAENDELEO Ya KIROHO YALIYOTUKUKA au Ndiyo TUNAMKASIRISHA Mwenyezi Mungu Tu?

Siku Hizi Ukienda Kanisani Na Labda Tu Ukiondoa Kwa Sisi WAKATOLIKI TULIOTUKUKA Basi Humo Katika Kanisa Hizo Nyimbo Za DINI Ambazo Zitapigwa Hazitakuwa Na Tofauti Sana Na Masebene Ya Ndombolo, Zitutana, Kwasakwasa, Kibindankoi Na Ekotitee.

Jamani Hivi:

  • Kukatika KIUNO Madhabahuni Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Wanacheza Sebene Hadi Wanaelekezeana Makalio Yao Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Kucheza Pale Madhabahuni Hadi Wengine WANAJAMBA Na Harufu Sometimes Sisi Tuliokaa Tunaisikia Huku Wakitokwa Na MIJASHO Ni Kupena UPAKO Huko au Kutafutiana Tu NUKSI?
  • Muimbaji au Kwaya Husika Kuvalia Nguo ZILIZOBANA KUNAKOTUKUKA Hadi Unaona Kila Kitu Kilichoumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Ni HALALI Kiroho?
Yangu Ni Haya Tu WATUMISHI Wenzangu Wa KIKRISTO Na Naomba ROHO MTAKATIFU AWAONGOZE KATIKA KUNIJIBU MTAKATIFU MWENZENU NILIYETUKUKA. Bwana Yesu ASIFIWE!

Karibuni Na Hata Ndugu Zangu WAISLAMU Nanyi Pia Mnakaribishwa Kuchangia Na Kutoa Pia Maoni Yenu Kwani Naamini Wote TUNAMWOMBA MUNGU Mmoja Ni Hizi Zingine Ni Mbwembwe Zetu Tu SISI Wanadamu.
Hahahaha a hahahahahahaha kwamba wanacheza ki papaaa......ki ndomboloo ya solo hadi wengine wanajilipua
 
Katika kwaya huwa napenda sana kwaya za Kisabato, kwa sababu Wasabato uimbaji wao hauna mfano, Hawa wengine kinacho wasaidia ni kurukaruka na kwenda kufanyia shooting kwenye mahoteli.

Kilicho nifanya niache kununu DVD za kwaya ni zile shooting zao na jinsi wanavyo cheza, haiwezekani tunamuimbia mungu halafu shooting inaenda kufanyiwa Ngurudoto Mountain Lodge, kuna uhusiano gani kati ya kufanyia shooting kwenye mahoteli makubwa tena yenye hadi macasino na kumuimbia mungu?

Na haya ni huku Africa hasa Bongo, nimeangalia sana kwaya za South Africa wsanaimba kwa usalabu sana, cheki wazungu wanavyo imba kwaya zao kwa adabu ya kiwango cha juu kabisa, sasa njoo bongo uone kwaya sasa
Bongo bila kutikisa matako hujacheza bado, na wengi huwa manawachugua wale wenye vyura, mtu umekaa kwenye benchi uume umeubana na mkanda kwa juu jinsi ulivyosimama eti unamuabudu Mungu
 
Shalom Nyote!

Leo Jumapili Hii Nipo KIROHO Zaidi Ila Sitaki Ipite Hivi Hivi Bila Kutoa DUKU DUKU Langu Nililonalo Kwa Kipindi Sasa.

Hivi Sisi WAKRISTO Ni Kwamba Siku Hizi Tumepiga MAENDELEO Ya KIROHO YALIYOTUKUKA au Ndiyo TUNAMKASIRISHA Mwenyezi Mungu Tu?

Siku Hizi Ukienda Kanisani Na Labda Tu Ukiondoa Kwa Sisi WAKATOLIKI TULIOTUKUKA Basi Humo Katika Kanisa Hizo Nyimbo Za DINI Ambazo Zitapigwa Hazitakuwa Na Tofauti Sana Na Masebene Ya Ndombolo, Zitutana, Kwasakwasa, Kibindankoi Na Ekotitee.

Jamani Hivi:

  • Kukatika KIUNO Madhabahuni Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Wanacheza Sebene Hadi Wanaelekezeana Makalio Yao Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Kucheza Pale Madhabahuni Hadi Wengine WANAJAMBA Na Harufu Sometimes Sisi Tuliokaa Tunaisikia Huku Wakitokwa Na MIJASHO Ni Kupena UPAKO Huko au Kutafutiana Tu NUKSI?
  • Muimbaji au Kwaya Husika Kuvalia Nguo ZILIZOBANA KUNAKOTUKUKA Hadi Unaona Kila Kitu Kilichoumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Ni HALALI Kiroho?
Yangu Ni Haya Tu WATUMISHI Wenzangu Wa KIKRISTO Na Naomba ROHO MTAKATIFU AWAONGOZE KATIKA KUNIJIBU MTAKATIFU MWENZENU NILIYETUKUKA. Bwana Yesu ASIFIWE!

Karibuni Na Hata Ndugu Zangu WAISLAMU Nanyi Pia Mnakaribishwa Kuchangia Na Kutoa Pia Maoni Yenu Kwani Naamini Wote TUNAMWOMBA MUNGU Mmoja Ni Hizi Zingine Ni Mbwembwe Zetu Tu SISI Wanadamu.
Mkuu sisi Wakristo majibu yetu tunayapata katika Biblia na hapa chini nimekuwekea vifungu vinavyoeleza kuwa kucheza kwa minajili ya kumsifu Mungu si vibaya,vibaya ni,unachezaje? Na afterall kucheza kulianza tangu enzi za akina Musa ukiangalia hilo andiko la mwisho,barikiwa sana mjori.

Ila uchezaji ndio tatizo kuna kwaya moja ya Katoliki pale Mbeya wananengua balaa nina dvd yao hapa au masebene ya walokole wa DRC na hata hapa home.

Psalm 149:3

Let them praise his name with dancing, making melody to him with tambourine and lyre!

Psalm 150:4

Praise him with tambourine and dance; praise him with strings and pipe!

Jeremiah 31:13

Then shall the young women rejoice in the dance, and the young men and the old shall be merry. I will turn their mourning into joy; I will comfort them, and give them gladness for sorrow.

2 Samuel 6:14

And David danced before the Lord with all his might. And David was wearing a linen ephod

Psalm 150:1-6

Praise the Lord! Praise God in his sanctuary; praise him in his mighty heavens! Praise him for his mighty deeds; praise him according to his excellent greatness! Praise him with trumpet sound; praise him with lute and harp! Praise him with tambourine and dance; praise him with strings and pipe! Praise him with sounding cymbals; praise him with loud clashing cymbals! ...

Exodus 15:20

Then Miriam the prophetess, the sister of Aaron, took a tambourine in her hand, and all the women went out after her with tambourines and dancing.
 
mkuu genta, unapaswa uiangalie ibada kwa jicho la kiroho hayo yote wala hautayaona,
Jicho lakiroho mtu anatingisha tako wewe unaota nini? Yaani mtubajibinue makalio yanatetemeka kama bukoba alafu jicho ukipeleke kiroho hahahaha unadanganya wenzio ila siri waijua mwenyewe mlingoti chuma upepo chuma huo ndio urijali.

Acha kabisa chura zilizoshibishwa noah imecombezwa na mini yenye mpasuo, hureeeeeeeeee hapo utadisa hata kama unamacho yarohoni kapu zima
 
Usiangalie mwenzako anachezaje na wewe cheza ila wanakatika wanapitiliza aaaah, mi napenda nyimbo za kuabudu tu,zile za kumsifu mungu utatamani uende nje kwanza
 
kati ya nzuzi ulizowahi kuleta, huu umepwaya sana, nafikiri ingekuwa wewe mkristo kweli ungekoti hata vifungu vinavyokata au kuruhusu kucheza, hapa umechemka, rc asili ya uimbaji waujua watokea wapi, wasabato nao wanastaili yao, hata waislam pia wanachezesha vichwa nao wana asili yao urabuni, je sababu sebene ni staili ya aftica ndo haifai?
Hakuna kitu cha kujadili hapa
Huyu mtoa Mada ni anti pentecostal!
 
jamaa umesema we ni mkatoliki but hujasema kwamba ni wakati gani unakwenda katika makanisa haya ya kiroho.

Pia wenzako wakati wanamsifu Mungu kwa namna waezavyo wewe unakua umekaa labda lengo lako ni kuchunguza wenzio.

Hatahivyo umekejeli kwa kusema watu wakiwa katikati ya sifa za kumtukuza baba muumba kama mfalme Daudi alipocheza mpaka nguo zikamdondoka huwa wengine hujamba na kunuka vikwapa ila bibilia haijakataza watu kupumua kwa namna yeyote ile, ama miili kutoa harufu yote kwa yote mi naona kama vile umeamua tu kukejeli akhsanteh!.........
Definitely that's what ticked in my mind niliposoma hiyo post, imejaa kejeli tu dhidi ya walokole na makanisa ya kipentekoste.
 
Shalom Nyote!

Leo Jumapili Hii Nipo KIROHO Zaidi Ila Sitaki Ipite Hivi Hivi Bila Kutoa DUKU DUKU Langu Nililonalo Kwa Kipindi Sasa.

Hivi Sisi WAKRISTO Ni Kwamba Siku Hizi Tumepiga MAENDELEO Ya KIROHO YALIYOTUKUKA au Ndiyo TUNAMKASIRISHA Mwenyezi Mungu Tu?

Siku Hizi Ukienda Kanisani Na Labda Tu Ukiondoa Kwa Sisi WAKATOLIKI TULIOTUKUKA Basi Humo Katika Kanisa Hizo Nyimbo Za DINI Ambazo Zitapigwa Hazitakuwa Na Tofauti Sana Na Masebene Ya Ndombolo, Zitutana, Kwasakwasa, Kibindankoi Na Ekotitee.

Jamani Hivi:

  • Kukatika KIUNO Madhabahuni Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Wanacheza Sebene Hadi Wanaelekezeana Makalio Yao Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Kucheza Pale Madhabahuni Hadi Wengine WANAJAMBA Na Harufu Sometimes Sisi Tuliokaa Tunaisikia Huku Wakitokwa Na MIJASHO Ni Kupena UPAKO Huko au Kutafutiana Tu NUKSI?
  • Muimbaji au Kwaya Husika Kuvalia Nguo ZILIZOBANA KUNAKOTUKUKA Hadi Unaona Kila Kitu Kilichoumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Ni HALALI Kiroho?
Yangu Ni Haya Tu WATUMISHI Wenzangu Wa KIKRISTO Na Naomba ROHO MTAKATIFU AWAONGOZE KATIKA KUNIJIBU MTAKATIFU MWENZENU NILIYETUKUKA. Bwana Yesu ASIFIWE!

Karibuni Na Hata Ndugu Zangu WAISLAMU Nanyi Pia Mnakaribishwa Kuchangia Na Kutoa Pia Maoni Yenu Kwani Naamini Wote TUNAMWOMBA MUNGU Mmoja Ni Hizi Zingine Ni Mbwembwe Zetu Tu SISI Wanadamu.
Bro post yako Ina maudhui ya chuki dhidi ya walokole! Jinsi ulivyoandika, maneno uliyotumia, na maudhui kiujumla ni kandamizi na ya kudhalilisha makanisa ya kipentekoste, na nikwambie tu Kama imefikia hatua wakristo tunadhalilishana namna hii na kufikia hatua ya kuwaita waisilamu Kuja kujadili mambo yetu wakristo basi ni wazi kabisa hukusudii kujenga Bali kuharibu na kuleta migawanyiko baina yetu!
Ni Sawa kama umeona mapufungu basi Kuna namna nzuri tu ya uandishi wenye malengo ya kujenga.
Sio kwa staili hii!
 
Aisee, hata mimi nilikwazika and I still am na hii trend, so I'm curious to hear others take on this.
Anyway, when I asked I was referred to;.
Arguably I could have questioned the "bible" dancing vs. what we now do, old testament vs. new but...............................
Ungeonyesha andiko linalosema msicheze mnapokua mnasifu na kuabudu unge make sense mno
 
Nemo;
Yu have made ma day. Thanks for the quotes and all the trouble to bring to light what is in the Word of God. I can see the motive yu have is; To bring light to the darkened hearts.
2 Sam. 6 : 14 And David danced before the Lord with all his might.....
V 16 ........Michal Saul's daughter looked thru a window, and saw king David leaping and dancing before the LORD ; and she despised him in her heart.

Kwa wale wenzetu mnaodharau na kuwadharau wanaocheza mbele za BWANA, kumbukeni kwamba Mikali huyu binti Sauli aliingiwa na roho ka hiyo yenu na kumdharau mfalme Daudi kwa kucheza na kurukaruka mbele za Bwana. Mwisho, neno linasema, Mikali akapata laana mbele za Mungu na hakuzaa mtoto yeyote.
Angalieni mnayo yawaza moyoni mwenu. Mtu anasema ati watu wanaruka mbele za Bwana mpaka wanajamba na kutoa harufu inayowafikia walio mbele kuleeee.
Sikutishiii, ila nakukumbusha kuwa Bwana Yesu Kristo alisema; Marko 7 : 21 Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya.....
Weye umeenda kuangalia mavazi?, umeenda kuangalia miili ilivyo jaziana? au kuangalia viuno vinavyo katwa au? Umeenda kunusa nusa harufu ka beberu aliyeingia kwenye kundi la majike kunusa harufu ya ni yupi yuko kwenye joto? Kama nimeenda kuabudu, ibaada yangu itatoka ndani yangu si nje.
Hata huyo Muislam swafii haimbi. Nyimbo ni njia mojawapo ya kupeleka ujumbe. Sasa mtindo wa kikwetu Afrika na mimi ni mpenzi wa Afrika ni NDOMBOLOOOOOOO, USA ni Country music, Ulaya ni Slow. Uarabuni ni taarab mix.
Kama Nemo alivyosema
  • Psalm 149: 3 Let them praise his name with dancing, making melody to him with tambourine and lyre!
Ukiona unakwazika, hatukuimbii weye tunamjua tunaye mwimbia. Tuacheeeeee
Well said bro,
Mtoa Mada amejihesabia haki kwa kujiita mtakatifu!
Lakini alichoandika kinakinzana na utakatifu!
Let's say St Paul or Peter kama angekua anataka kulionya kanisa angeandika kama huyo bwana?
Shame!
 
Kiukweli inakera sana kuona watu wanacheza sebene na miziki ya ovyo na wachungaji wanaona huu ni ujinga mkubwa sana na wao pia wanaangalia tu sadaka zao ila maadili hawafundushi mm wananikera viongozi wa dini
 
Mitazamo na tamaduni mabalimbali inaweza kuwa sababu kubwa ya kutofautiana na namna ya kucheza muziki wa injili.

Lakini pia swali la kujiuliza ni kwamba nani aliweka utaratibu wa namna ya kucheza muziki wa injili dhidi ya ule wa kidunia?

Kwamba Mungu yeye achezewe kinyonge na huzuni lakini Shetani achezewe kwa furaha mpaka nguo kuchanika?

Jambo muhimu ni mavazi yenye staha na uchezaji ambao hauhamasishi vitendo vya kishetani kulingana na tamaduni za kila eneo.

Sidhani kama ni jambo zuri kumchezea Mungu kama kwamba umeshewa na Mvua. kumbuka malaika mbinguni wanaimba na kucheza mbele za Mungu.
 
Shalom Nyote!

Leo Jumapili Hii Nipo KIROHO Zaidi Ila Sitaki Ipite Hivi Hivi Bila Kutoa DUKU DUKU Langu Nililonalo Kwa Kipindi Sasa.

Hivi Sisi WAKRISTO Ni Kwamba Siku Hizi Tumepiga MAENDELEO Ya KIROHO YALIYOTUKUKA au Ndiyo TUNAMKASIRISHA Mwenyezi Mungu Tu?

Siku Hizi Ukienda Kanisani Na Labda Tu Ukiondoa Kwa Sisi WAKATOLIKI TULIOTUKUKA Basi Humo Katika Kanisa Hizo Nyimbo Za DINI Ambazo Zitapigwa Hazitakuwa Na Tofauti Sana Na Masebene Ya Ndombolo, Zitutana, Kwasakwasa, Kibindankoi Na Ekotitee.

Jamani Hivi:

  • Kukatika KIUNO Madhabahuni Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Wanacheza Sebene Hadi Wanaelekezeana Makalio Yao Ni Halali Kwa Mungu?
  • Waumini Kucheza Pale Madhabahuni Hadi Wengine WANAJAMBA Na Harufu Sometimes Sisi Tuliokaa Tunaisikia Huku Wakitokwa Na MIJASHO Ni Kupena UPAKO Huko au Kutafutiana Tu NUKSI?
  • Muimbaji au Kwaya Husika Kuvalia Nguo ZILIZOBANA KUNAKOTUKUKA Hadi Unaona Kila Kitu Kilichoumbwa Na Mwenyezi Mungu Huyo Huyo Ni HALALI Kiroho?
Yangu Ni Haya Tu WATUMISHI Wenzangu Wa KIKRISTO Na Naomba ROHO MTAKATIFU AWAONGOZE KATIKA KUNIJIBU MTAKATIFU MWENZENU NILIYETUKUKA. Bwana Yesu ASIFIWE!

Karibuni Na Hata Ndugu Zangu WAISLAMU Nanyi Pia Mnakaribishwa Kuchangia Na Kutoa Pia Maoni Yenu Kwani Naamini Wote TUNAMWOMBA MUNGU Mmoja Ni Hizi Zingine Ni Mbwembwe Zetu Tu SISI Wanadamu.
.......ha ha hah hah natest keyboard yangu kama inafanya kazi by the way daudi alicheza kwa MUNGU mpaka nguo zikavuka
MUNGU alisema inatupasa tumuabudu katika roho na kweli....

but all in all kuna kitu unakitafuta mkuu siamini kama umekaa nyuma ya keyboard ukaandika haya bila kutafta kitu
Napata wasiwasi nnapoona sentensi yako isemayo "UKITOA SISI WAKATOLIKI TULIOTUKUKA"

Mkuu endelea na tafiti zako...
 
Back
Top Bottom