Search results

  1. I

    Dawa nzuri ya ugonjwa wa ndui wa kuku

    Naomba kujuzwa dawa nzuri ya asili ya ndui kwa vifaranga maana vifaranga vyangu vimefariki
  2. I

    Naomba ushauri kuhusu kufuga kuku wa kienyeji na wa kisasa ktk eneo / kiwanja kimoja.

    Nataka kufuga kuku wa kisasa wa nyama wakati huo nafuga kuku wa kienyeji, je inawezekana?, hakuna magonjwa ya kuambukizana, wazoefu na wataalam naomba mwongozo
  3. I

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hapa kazi tu, mh. Rais ktk kampeini za uchaguzi alihaidi kumaliza kero za watumishi hasa madai ya muda mrefu, naomba wizara husika na halmashauri husika zitatue kero hii.
  4. I

    Chanjo na dawa za kuzuia vifo vya vifaranga wa kuku wa kienyeji

    Naomba mnijuze jinsi ya kuzuia magonjwa ya vifaranga wa kuku wa kienyeji maana kila nikifuga vifaranga wanapata vidonda kuzunguka macho na vinakufa
  5. I

    Nahitaji USB original ya external disk ya Toshiba, 1000 GB

    Nipo dsm, naomba mnijulishe usb original ya external disk toshiba 1000 gb nitaipata wapi
  6. I

    Naomba serikali ya awamu ya 5 ikumbuke madai ya watumishi wa umma

    Ndg. Mugajwale, nimekupata, naomba wadau mnipe utaratibu wa kuhama idara / kada ya utumishi, mf. dokta kuwa mwalimu
  7. I

    Mafuta na sabuni kwa ngozi yenye mafuta mengi (oily skin)

    Watu wengi wana chunusi na ngozi zenye mafuta mengi, naomba kujua tiba.
  8. I

    Njia ya kungarisha meno ili yawe meupe

    Naomba mnielimishe jinsi ya kungarisha meno yawe meupe kabisa
  9. I

    Naomba serikali ya awamu ya 5 ikumbuke madai ya watumishi wa umma

    Nampongeza RAIS dkt. Magufuli, naomba aanze na kilio cha watumishi ambao wanadai malimbikizo ya mishahara.
  10. I

    Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    Zandu ni dawa nzuri ya maleria, dsm fika kariakoo posta uliza duka la dawa za kisuna la Abdulswamad,
  11. I

    Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    SHUKRANI SANA wana JF, michango yenu ni tiba tosha. Zandu ni dawa nzuri imenisaidia kwa miaka 7 lkn sasa imedunda
  12. I

    Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    SHUKRANI, kuna dawa nyingine ya maleria ya mitishamba zaidi ya /mbadala ya ZANDU?
  13. I

    Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    Dawa ya asili ya maleria ya ZANDU inapatikana eneo la posta kariakoo ktk duka la dawa za kisuna la Abdulswamad.
  14. I

    Kukazia hukumu kwenye Baraza la Ardihi la Wilaya

    Mawakili na wanasheria, naomba mtujuze jinsi ya kukazia hukumu ya ward tribunal ktk dhlt
  15. I

    Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    Wataalam, hivi hakuna dawa ya mitishamba au hospitali ya kuzuia mtu asiambukizwe maleria?
  16. I

    Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    Wana JF, nashukuru, sina typhoid wala UTI, maleria ikipona badaada ya mwezi naumwa tena, wataalam nisaidie
  17. I

    Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

    Wana JF, nasumbuliwa na maleria ya mara kwa mara, nina 95 kgs, natumia artmether inj. au quinine inj.3 namalizia ALU
  18. I

    Ufugaji wa kuku wa kienyeji aina ya Kuchi

    JAMANI NAOMBA MNIJUZE KUHUSU KUKU AINA YA KUCHI ili nijue bei na pa kuwapata. Je wana sifa gani tofauti na kuku wengine?
  19. I

    Mafundi wazuri wa external hard disk jijini Dar es Salaam

    MKUU ubarikiwe, naomba wana JF wengine mnijuze walipo mafundi nguli wa external hard disk / computer na maduka ya vifaa / spea original za external disk / computer jijini DSM.
  20. I

    Miche ya miti ya mitiki inauzwa wapi mjini Bukoba?

    Je!, Naweza kusafirisha miche ya mitiki kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba ikafika salama? Au ninunue mbegu za mitiki nikapande?
Back
Top Bottom