Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

Zandu ni dawa nzuri ya maleria, dsm fika kariakoo posta uliza duka la dawa za kisuna la Abdulswamad,
 
Pole. Kinga ya Malaria bado iko kwenye majaribio. Na wataalam wa NIMRI kuna kipindi walituambia kuwa majiribio ya chanjo hiyo yanaendelea vyema...
 
Kuna kipindi nilikuwa nasumbuliwa Sana na hiyo malaria kila baada ya miezi miwili au m3 inarudi, lakn badae nikatumia dawa moja ya kihindi/kienyeji inaitwa Zandu!, sasa huu ni mwaka wa 7 sijawahi umwa tena! Hivyo itafute mkuu..pia waliowahi kuitumia maoni yenu kuihusu, au waliowahi kuisikia...

mkuu Zandu ata mimi iliniokoa!!
 
Wana JF, nasumbuliwa na maleria ya mara kwa mara, nina 95 kgs, natumia artmether inj. au quinine inj.3 namalizia ALU

Wana JF, nashukuru, sina typhoid wala UTI, maleria ikipona badaada ya mwezi naumwa tena, wataalam nisaidie

Dawa ya asili ya maleria ya ZANDU inapatikana eneo la posta kariakoo ktk duka la dawa za kisuna la Abdulswamad.

Zandu ni dawa nzuri ya maleria, dsm fika kariakoo posta uliza duka la dawa za kisuna la Abdulswamad,

Mhh...utapeli???
 
Tafuna mwarobaini maganda yake urefu wa inchi tano kwa siku 3 mara moja moja then unywe kijiko cha asali nyeupe kila siku ,kwa siku tatu.
 
Wana JF, nasumbuliwa na maleria ya mara kwa mara, nina 95 kgs, natumia artmether inj. au quinine inj.3 namalizia ALU
Ndugu kuna dawa moja kiboko hii ni vitunguu swaumu. Fanya hv. Uwe unatafuna au hata kumeza bila kutafuna vipeche viwili vya kitunguu swaume kutwa mara tatu kwa siku 10. Yaani asbh2 mchana 2 na jioni2 fanya hivyo kwa siku 10. Hapo nenda kapime uone kama unakuta mdudu wa malaria.

Lkn bado utakua na faida nyingine utumiapo kitunguu swaumu. Na ili uwe na matokeo endelevu uwe unakula vipeche hvyo walau juma moja kwa kila mwezi nakuhakikishia malaria utaisikia kwa wadau wengine hapa jukwaani.

Utaratibu huu mimi huutumia sisemi kitu kinadharia
 
Back
Top Bottom