The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,135
- 116,007
This is the contention issue! sio ajira za serikalini.wachangiaji.wamepewa elimu ya kuajiriwa serikalini.ili wakazembee na kupiga hela na job security ya maisha! wakibadilisha kazi zikiwa za contract hutasikia hizi.kelele! serikali.ilisema inataka kukusanya.kodi sio kutoa huduma! jiongezeni WATANZANIA.
Inawezekana hilo lakini pia Corporate world ya kibabaishaji
mishahara kidoogo mno....uhuni mwiingi...ni kama unyonyaji
ndo maana serikalini inakuwa kimbilio
huwezi sema wafanyakazi wa kampuni kama voda na airtel ni wazembe
lakini wanacholipwa ni duni ...ndio maana hata wao wanakimbilia seikalini
serikalini imekuwa kazi ya kuonewa wivu
nchi zingine serikalini wanaenda failures na wale ambao sio smart enough ku join corporate...