Je, kuna dawa ya kinga ya malaria?

Kapime ty4id pia,wadudu wa malaria wanakufa punde utumiapo dawa za malaria.Lakini ty4id pia inadalili zinazo fanana na za malari,unaweza ukadhani kua hauponi malari kumbe ni kitu kingine ok'
 
Dalili za malaria pia hufanana na UTI so kapime mkojo pia, utapona kabisa, maana huendaunakunywa dawa za malaria pamoja na panadol hazikutibu badala yake zinafanya kazi ya kutuliza maumivi, painkillers unahic kama umepona kumbe UTI bado unayo baada ya mda inaibuka, note, dalili zote za mgonjwa wa malaria humpata mwenye UTI
 
Wana JF, nashukuru, sina typhoid wala UTI, maleria ikipona badaada ya mwezi naumwa tena, wataalam nisaidie
 
Wataalam, hivi hakuna dawa ya mitishamba au hospitali ya kuzuia mtu asiambukizwe maleria?
 
Kuna kipindi nilikuwa nasumbuliwa Sana na hiyo malaria kila baada ya miezi miwili au m3 inarudi, lakn badae nikatumia dawa moja ya kihindi/kienyeji inaitwa Zandu!, sasa huu ni mwaka wa 7 sijawahi umwa tena! Hivyo itafute mkuu..pia waliowahi kuitumia maoni yenu kuihusu, au waliowahi kuisikia...
 
Dawa ya asili ya maleria ya ZANDU inapatikana eneo la posta kariakoo ktk duka la dawa za kisuna la Abdulswamad.
 
SHUKRANI, kuna dawa nyingine ya maleria ya mitishamba zaidi ya /mbadala ya ZANDU?
 
Kuna Dawa Inaitwa Mshana Ni Ya Wahaya Ile Hta Pata Marelia Tna
 
Wataalam, hivi hakuna dawa ya mitishamba au hospitali ya kuzuia mtu asiambukizwe maleria?

Ipo ila kwa tz sijui kama inapatikana, kuna jamaa yangu huwa anaishi Sweden, akija lazima aje navyo anameza kila siku kidonge kimoja, pindi anapokuwa huku, ili asipate malaria.
 
Ipo ila kwa tz sijui kama inapatikana, kuna jamaa yangu huwa anaishi Sweden, akija lazima aje navyo anameza kila siku kidonge kimoja, pindi anapokuwa huku, ili asipate malaria.

Huyo anakunywa dawa za malaria za kawaida in a low dose kwa ajili ya kinga
 
Kuna kipindi nilikuwa nasumbuliwa Sana na hiyo malaria kila baada ya miezi miwili au m3 inarudi, lakn badae nikatumia dawa moja ya kihindi/kienyeji inaitwa Zandu!, sasa huu ni mwaka wa 7 sijawahi umwa tena! Hivyo itafute mkuu..pia waliowahi kuitumia maoni yenu kuihusu, au waliowahi kuisikia...

Zandu ni nzuri lakini ukiitumia tena na tena nayo inakuwa haitibu tena. Ila kwa mara ya kwanza inaweza kusaidia.
 
Wana JF, nasumbuliwa na maleria ya mara kwa mara, nina 95 kgs, natumia artmether inj. au quinine inj.3 namalizia ALU

Kama upo Dar nenda pale Azam take away pembeni mwake kuna ofisi wanauza dawa za kienyeji. Ni pale posta mpya nyuma ya jengo la Benjamini Mkapa. Dawa hizo ni safi sana
 
Mimi huwa natumia aloe vera naichemsha na kuinywa huwa inanisaidia maana malaria mara ya mwisho kuugua ni mwaka 2013 tangu nimeanza kuwa naichemsha kila baada ya muda flan sijawahi kuumwa malaria,dawa nyingne pia nzuri hata kwa watoto ni dafu yale maji yake unachanganya na malimao then unakunywa kama juice ni dawa nzuri sana. jaribu hizo mkuu ilananza na aloevera
 
Mimi huwa natumia mwarobaini na aloe vera full stop, zote huwa nachemsha na kunywa!
 
Wana JF, nasumbuliwa na maleria ya mara kwa mara, nina 95 kgs, natumia artmether inj. au quinine inj.3 namalizia ALU

kula matunda kwa wing na mbogamboga usiamin sana katika dawa maana mwili wa binadamu unaitaji kutunzwa kama gar na kupewa kile unachotakiwa kupewa sio kuumpa usichotaka mwili unaitaj kinga we unaenda kuua vidudu huku kinga ikiwa chin lazima vidudu vikirud viingie tena
 
SHUKRANI SANA wana JF, michango yenu ni tiba tosha. Zandu ni dawa nzuri imenisaidia kwa miaka 7 lkn sasa imedunda
 
Back
Top Bottom