Naomba serikali ya awamu ya 5 ikumbuke madai ya watumishi wa umma

ILLUNGU

Member
Oct 12, 2015
35
3
Nampongeza RAIS dkt. Magufuli, naomba aanze na kilio cha watumishi ambao wanadai malimbikizo ya mishahara.
 
Licha ya malimbikizo ya mishahara,kuna halmashauri nyingine nying watu hawapandish madaraja zaid ya miaka 6 wakurugenz
 
Wapo maofisin na maafisa utumish,sheria ya miundo ya utumish ibadlishwe,mtu akitoka masomoni abadlishiwe muundo wa utumi
 
Unakuta mtu ameajiriwa kama afisa ugani au mwl ngazi ya cheti,amejiendleza mpk digree akirud anaendlea na chet miaka 15
 
Sheria nyingne kandamizi ya kikoloni ni re-categorisation,kuhama idara kwenda idara,ni sheria mbovu,wahusika wanajua
 
Ndg. Mugajwale, nimekupata, naomba wadau mnipe utaratibu wa kuhama idara / kada ya utumishi, mf. dokta kuwa mwalimu
 
Back
Top Bottom