Kapime NgomaWana JF, nashukuru, sina typhoid wala UTI, maleria ikipona badaada ya mwezi naumwa tena, wataalam nisaidie
Wataalam, hivi hakuna dawa ya mitishamba au hospitali ya kuzuia mtu asiambukizwe maleria?
Ipo ila kwa tz sijui kama inapatikana, kuna jamaa yangu huwa anaishi Sweden, akija lazima aje navyo anameza kila siku kidonge kimoja, pindi anapokuwa huku, ili asipate malaria.
Kuna kipindi nilikuwa nasumbuliwa Sana na hiyo malaria kila baada ya miezi miwili au m3 inarudi, lakn badae nikatumia dawa moja ya kihindi/kienyeji inaitwa Zandu!, sasa huu ni mwaka wa 7 sijawahi umwa tena! Hivyo itafute mkuu..pia waliowahi kuitumia maoni yenu kuihusu, au waliowahi kuisikia...
Kapime Ngoma
Wana JF, nasumbuliwa na maleria ya mara kwa mara, nina 95 kgs, natumia artmether inj. au quinine inj.3 namalizia ALU
Wana JF, nasumbuliwa na maleria ya mara kwa mara, nina 95 kgs, natumia artmether inj. au quinine inj.3 namalizia ALU