Search results

  1. U

    If Moi Kills for Uhuru through Kikwete Today, Odinga's Blood Would Spill Far & Wide The Great Lakes

    KILLING ODINGA AND THE DEMANDING CALL OF READINESS TO SWIM HIS BLOOD FULL-LENGTH OF THE STREAM Moi, Kenya's retired President, Kibaki, Uhuru and Ruto reliably held a final consiracy meeting under President Kikwete in Dar es Salaam, two weeks to Kenya's General Elections, with a sole genda of...
  2. U

    'Bajeti-ya-Mlalahoi' Safari Hii Izingatie VIPAUMBELE Gani Bungeni Dodoma?

    Ndugu wanabodi, Wahenga husema siku zote ni mwenye kuvaa kiatu ndiye ajuaye ni wapi hasa kiatu chake kinambana na hivyo ni wajibu wake huyo huyo kujua afanye nini ili kujinasua na uchungu kutokana na kiatu chake. Ni kweli kwamba nyumba ya usemi huo wa wahenga wetu kuna busara na hekima kemkem...
  3. U

    The Tanzania Political Chaseboard: Tafsiri ya Mambo Mazito Kisiasa Tukielekea 2015

    URAIS WA KI-UDALALI, MBELEKO MBELEKO, UANAMTANDAO NA VIGEZO VINGINE UCHWARA VINAVYOZUIA DEMOKRASIA KUFANYA KAZI KATIKA UHALISIA WAKE NA KWA KUZINGATIA TAMADUNI ZA TAIFA LETU JUU YA HILO KAMWE HAYANA NAFASI 2015 Mara nyingi mtatizo ya ki-utawala kwa Rais Kikwete ama ndani ya chama chake au...
  4. U

    Ufisadi Bila Majibu: Rais Kikwete na Lowassa sasa jiuzuluni ndani ya siku 90 kupisha uchunguzi huru

    RAIS KIKWETE NA MJUMBE WA NEC CCM TAIFA EDWARD LOWASSA SASA NI WAKATI MWAFAKA MJIUZULU MARA MOJA KUPISHA UCHUNGUZI WA TUME HURU KUWATAKATISHENI MAJINA MBELE YA UMMA NA JUMUIYA YA KI-MATAIFA Kufuatia sakata la ufisadi juu ya ufisadi katika serikali hii ya awamu ya nne na viongozi kuzidi...
  5. U

    Mkakati wa CCM kujivua gamba ni zao la Utafiti kweli au Majungu?

    WILISONI, KATUPE MBALI HIYO RIPOTI KABLA HAIJAANGAMIZA ZAIDI CCM NA TAIFA KWA UJUMLA MAANA HATA KIDOGO HAIKUA ZAO LA LILE JINA LA UBATIZO LA 'SCIENTIFIC RESEARCH' ULIOIPA LA SIVYO CCM MTAJIKUTA MKITOA TIBA YA GOTI KWA UGONJWA WA KICHWA!!! Mr Archimedes & the Scientific Research...
  6. U

    CCM Tupeni Katiba Mpya Kuzingatia Matakwa Wananchi au Mtupishe Njia April 08, 2011

    Hapo nyuma wananchi tulionyesha wasiwasi mkubwa na nyinyi kujihusisha na katiba kwa peke yenu, baada ya kutuibia uchaguzi wetu October 2010 ikatuondoa kabisa imani kwenu lakini bado mkajing'ang'aniza kwamba tuwaamini na kazi hii nyeti; ajabu bado tena mmeingiza ule ule mtindo wenu wa usanii hata...
  7. U

    CCM Rudisheni Kwanza Hela za Ma-Alhaj Qadhafi na Hosni Mubarak

    JOHN TENDWA DO US A FAVOUR: HELP CCM-UFISADI & KIKWETE RETURN GADDAFI'S FUNDINGS TOO OR GO DOWN WITH HIM If one ever thought that the generous hands of Libyan dictator was only quick at either supporting and or seeking to oil the claimed France President's campaign machine in the west...
  8. U

    Wasira Kuna Njaa Kila Kona Nchini Acha UTYSON kwa Kuishi Ulimwengu wa Takwimu

    Wassira achukizwa Dk Slaa Wednesday, 16 March 2011 20:02 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uratibu na Uhusiano), Steven Wassira Sosthenes NyoniWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uratibu na Uhusiano), Steven Wassira, amemtaka Katibu Mkuu wa Chadema,Dk Willibrod Slaa, kutumia elimu yake...
  9. U

    Kaslimanzira Hata India Wapo Wakiwaongoza Jopo la Wenye Immani Haba Kwa Mungu

    A tribal priest blesses Hindu women prostrating themselves in prayers for fertility during the 'Peddagattu Jathara' festival at a temple in the Nalgonda district, India. The festival, where devotees worship the Hindu god Lord Shiva, has been celebrated for the past 400 years. Photo: Noah...
  10. U

    Machinga Mohamed Bouazizi Sasa Afikisha Salam za Mabadiliko ya 'Nguvu ya Umma' Uchina

    China Clampdown Ahead Of Democracy Demo 46 mins ago (c) Sky News 2011 Chinese authorities are cracking down on democracy activists ahead of planned protests that draw inspiration from popular movements in the Middle East. Skip related content Related photos / videos...
  11. U

    Magwiji 3 (Gandhi, Bouzizi na Gene Sharp) Wanaong'o Madikteta Madarakani Kote Duniani

    The 83-year-old academic who inspired the Egyptians Gene Sharp’s how-to guide on non-violent revolution helped boot out Mubarak By David Cairns LAST UPDATED 11:58 AM, FEBRUARY 20, 2011 Share An 83-year-old American whose writings on non-violent resistance to dictatorships have...
  12. U

    Ufedhuli wa Familia ya Rais Gaddafi nchini Libya na Somo Kwa Wa-Tanzania

    WikiLeaks Exposed Gadhafi Family Abuses Clan's abuse of power helped fuel unrest...
  13. U

    Je Unaahabari Ya Kwamba Bloggers wa Kimataifa sasa Wanakwenda Msafa Marefu??

    Ni bahati mbaya sana kwamba bloggers wengi nchini wanafahamu JF na kwa Michuzi Senior na Junior. Kadri siku zinavyokwenda sasa ni dhahiri kwamba mawasiliano pepe imepata nguvu kubwa ajabu. Na hivyo vivyo ndivyo watawala wadhalimu wanavyoendelea kuchukia hii silaha muhimu ambayo ipo kwenye...
  14. U

    Dikteta Ben Ali Mahututi Saudi Arabia

    Ben Ali in a Coma right now in Saudi Arabia. SOURCES: Tunisia.com Community http://www.guardian.co.uk/wolrd/2011...e-ben-ali-coma
  15. U

    Did you Ever Imagine of this Top-Secret Coca-Cola Formular??

    Food & Drink Coca-Cola's 'secret ingredient revealed' An American radio station has allegedly unveiled the recipe for one of Coca-Cola's key secret ingredients.… 671 Comments Like that (274)...
  16. U

    Misri Yaanza Safari Bila Dikteta Alhj Hosni Mubarak

    Egypt's army dissolves parliament Military rulers say they will remain in charge for six months until elections are held as some...
  17. U

    Bunge letu Dodoma Kuwa Wakunga wa Katiba Mpya au 'Tahrir Square' ya Tanzania?

    CCM kuwabana Mnyika, Kafulila bungeni Courtesy of : http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=430742 na Mwandishi wetu WAKATI mkutano wa 11 wa Bunge ukitarajiwa kuanza keshokutwa mjini Dodoma, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahaha kuzizuia hoja binafsi za wabunge wa upinzani...
  18. U

    El Baradei Atinga Tahrir Square Misri Na Upinzani Wote Nyuma Yake

    Dr Mohamed El Baradei ajichanganya na waandamanaji mitaani kuwahutubia na kuwatia wazimu mkali kwa kitendo cha kuonekana tu hata kabla ya tamka neno. Yule kiongozi mstaafu wa Tume ya Umoja wa Mataifa kuthibiti mabaya Nguvu za Nuklia Duniani, Dr Mohamed El Baradei, aongoza njia katikati ya...
  19. U

    Marais Madikteta Humzungumzia Nani Wanapokutana Africa Union?

    AU risks being consigned into dustbin of history with dinosaurs of yesteryears By Barrack Muluka At the apogee of its largely disgraceful 39 years existence, the defunct Organisation of African Unity (OAU) was an irrelevant talk shop in the hands of continental dictators. Heads of state and...
  20. U

    Tunavyorudi Bungeni Dodoma Hoja Ziamuliwe Maslahi ya Chama au ya Taifa??

    TUNAVYORUDI BUNGENI: 'NGUVU YA UMMA' TUNAAGIZO 'UTII' NA 'UTETEZI' WAKE MBUNGE UWE NI KWA MASLAHI YA CHAMA CHAKE AU MASLAHI YA WAPIGA KURA??? Miaka mingi tumekuwa tukitabasamu vizuri na wanasiasa kwa kipindi cha siku 90 wanapokuja kutuomba kuna na kila raia kujihisi mfalme na mwenye nchi kweli...
Back
Top Bottom