Search results

  1. makandokando

    KUBAKWA: Nani kabakwa?

    Wanajamvi naombeni msaada. Zamani nilikua nikisikia msichana kabakwa, basi kulikua na mambo yafuatayo: 1. Huyo msichana kafanyiwa kitendo ambacho hajakipenda 2. Hatapenda kirudiwe tena 3. Sehemu aliyobakwa ni sehemu ambayo anatakiwa kuwepo, na hata asingebakwa, hakuna ambaye angeshangaa...
  2. makandokando

    Ngeleja ameamua kutuoenyesha akiamua watu mlale giza, mtalala giza

    Hakuna wizara yenye nguvu kama Wizara ya Nishati na Madini, sana sana kwenye masuala ya kuwaweka watu kwenye giza. Kaanza kwa kukata umeme. Wabongo mkajifanya wabishi mkanunua majenereta. Mnajifanya mnashindana nae, sasa kasitisha na mafuta.....kuna baadhi ya wabongo wameanza kutumia solar...
  3. makandokando

    Mulika Mwizi

    Wakuu, nimesikia huu msemo sana hivi karibuni....ila sifahamu maana yake. Hivi huu msemo umetokana na nini, na maana yake nini? Mulika Mwizi!
  4. makandokando

    Mchango wa RA bungeni

    Wadau, katika bunge lililopita RA alikuwa ndio mbunge anayeongoza kwa kutosema chochote bungeni. Sijui kwenye hili bunge letu "tukufu" la kumi atasema lolote? Mkuu Rostam, kama unasoma hii, sema kitu basi....hata salama kwa Spika kutoka kwa wapigakura wako.
  5. makandokando

    Zawadi ya Kumpa wife wako Valentine's Day

    Chukua karatasi, halafu andika jina lake lote....na kama unaweza pia weka jina la mwisho la mama yake kabla hajaolewa, halafu malizia na jina la utani la wife. Kwa mfano: Jackline James Mwamtambo Kitimoto Binti Machozi (hapa binti machozi jina la utani la wife, na Mwamtambo jina la mwisho la...
  6. makandokando

    CHADEMA nomaaaaa!

    Hivi kuna chama lingine lolote katika historia ambalo limeweza kutesa kama CHADEMA? Hakunaaaaa! Yaani kwenye mkutano wa CCM walikuwa wanaongelea CHADEMA. Waziri wa CCM anasema CHADEMA oyeee! Halafu tofauti na vyama vingine vya upinzani ambavyo vina jina mojamoja.....kwa mfano enzi zile za...
  7. makandokando

    uchakachuaji wa noti mpya

    Wakuu, Usije ukajisahau halafu ukaicha noti mpya ya elfu kumi ndani ya nguo, halafu ukafua na nguo zenye rangi nyeupe. Rangi inachuja wakuu. We kama huamini, chukua noti ya elfu kumi sasa hivi, halafu isugue kidogo kwenye karatasi jeupe, utaona rangi inabaki. Wanachakua hadi fedha zetu...
  8. makandokando

    anaupenda ulimi wangu kuliko mimi

    Jamani, demu wangu kaniambia anaupenda ulimi wangu kuliko anavyonipenda mimi. Mi hata sijui niichukuliaje hii. Ananisifia au ndio anatafuta njia ya kutokea?
  9. makandokando

    Namfagilia January

    Wadau, kwa kweli ingawa baba yake huju kijana anaharibu mbaya, lakini mi namkubali sana huyu jamaa. Nadhani tukiwa na viongozi kama hawa Tanzania ijayo itakuwa nzuri sana. Anaonekana kuwa amesoma, ameelimika na anajua anachokifanya. Ni bahati mbaya tu yupo kwenye upande ambao sio wenye (CCM)...
  10. makandokando

    Siri ya jinsi ya kupata demu/girlfriend/mchumba/mpenzi

    Ili mdada akupende inategemea vitu vingi sana ambavyo vinasababisha wakupende. 1. jiografia: sehemu wadada walipo. wanachopenda wadada wa tanzania ni tofauti na wanachopenda wadada wamerekani na nitofauti na wanachopenda wadada wakichina 2. kipindi: kipindi wadada walichopo nacho...
Back
Top Bottom