makandokando
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 299
- 20
Wakuu,
Usije ukajisahau halafu ukaicha noti mpya ya elfu kumi ndani ya nguo, halafu ukafua na nguo zenye rangi nyeupe. Rangi inachuja wakuu.
We kama huamini, chukua noti ya elfu kumi sasa hivi, halafu isugue kidogo kwenye karatasi jeupe, utaona rangi inabaki.
Wanachakua hadi fedha zetu halali jamani!!!.......hapa kunahitajika kuwatunisia na kuwamisri watu hapa.