Zawadi ya Kumpa wife wako Valentine's Day

makandokando

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
299
20
Chukua karatasi, halafu andika jina lake lote....na kama unaweza pia weka jina la mwisho la mama yake kabla hajaolewa, halafu malizia na jina la utani la wife.

Kwa mfano: Jackline James Mwamtambo Kitimoto Binti Machozi (hapa binti machozi jina la utani la wife, na Mwamtambo jina la mwisho la mama)

Halafu nenda kanunue chocolate. Kula chocolate yote, bakisha kipande kimoja tu, halafu hicho kipande nacho kimege. Kinachobaki kiweke kwenye hilo karatasi (hakikisha karatasi ni safi). Halafu andika maneno yafuatayo:

"Haiwezi kuwa tamu bila kukushirikisha na wewe...karibu chocolate"
 
oh, malizia na happy valentine's day......

halafu usiku piga gemu la uhakika
 
Hivi huwa mnasubiria hadi Valentine ifike ndio muwanunulie zawadi wake zenu na wapenzi wenu????
 
special days require special events......ndio maana kuna sikukuu ya muungano, birthday, siku ya baba duniani, siku ya mama duniani, siku ya walemavu......hazina maana kuwa kwa sababu kuna siku ya baba, basi siku nyingine sio baba yako.

kumnunulia mtu zawadi wakati wa valentine au christmas ni tofauti na kumnunulia zawadi siku nyingine....kama hujagundua hilo basi itabidi ukasoma symbolism.
 
makando kando on duty:laugh:
 
Chukua karatasi, halafu andika jina lake lote....na kama unaweza pia weka jina la mwisho la mama yake kabla hajaolewa, halafu malizia na jina la utani la wife.

Kwa mfano: Jackline James Mwamtambo Kitimoto Binti Machozi (hapa binti machozi jina la utani la wife, na Mwamtambo jina la mwisho la mama)

Halafu nenda kanunue chocolate. Kula chocolate yote, bakisha kipande kimoja tu, halafu hicho kipande nacho kimege. Kinachobaki kiweke kwenye hilo karatasi (hakikisha karatasi ni safi). Halafu andika maneno yafuatayo:

"Haiwezi kuwa tamu bila kukushirikisha na wewe...karibu chocolate"

darsa makhaba!!!
kufundishwa bure maswali na ela...thax
 
special days require special events......ndio maana kuna sikukuu ya muungano, birthday, siku ya baba duniani, siku ya mama duniani, siku ya walemavu......hazina maana kuwa kwa sababu kuna siku ya baba, basi siku nyingine sio baba yako.

kumnunulia mtu zawadi wakati wa valentine au christmas ni tofauti na kumnunulia zawadi siku nyingine....kama hujagundua hilo basi itabidi ukasoma symbolism.

REMEMBER EVERY NEWDAY IS A SPECIAL DAY and btw Valentine Day imekaa kiuzinzi zaidi
 
Hivi kumbe eeh, natafuta valentinol wakusherehekea nae hio,
Lakini zawadi nachagua kiwanja. Jitaidi kuwahi nafasi ni chache............:clap2::clap2:
 
Aise basi naomba nikupe kiwanja ambacho moyo wangu umeweka nyumba yake. Ha ha ha ha
 
Hivi kumbe eeh, natafuta valentinol wakusherehekea nae hio,
Lakini zawadi nachagua kiwanja. Jitaidi kuwahi nafasi ni chache............:clap2::clap2:
Who knows what tomorrow has to offer??
 
Back
Top Bottom