Search results

  1. jMali

    TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara

    Mwambieni mzee Mabala aongee na Hidaya wake
  2. jMali

    Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

    Sio kesi walifikaje, ishu ni kwa nini wajifiche kwenye makabila ya watu wengine wana nia gani? Kwani ni dhambi kuwa kabila lao? Kuna dada mmoja maarufu huko anajiita Mnyakyusa ila hana kabisa "vigezo na masharti" vya wanawake wa Mbeya if you know what i'm saying. Mnyaki gani ana shepu ya Mange...
  3. jMali

    Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994

    Hajalaghai yoyote. Dunia tunaenda naye kidiplomasia kwa kuangalia maslahi mapana. Siku akijichanganya anawekwa sawa.
  4. jMali

    Chanzo ni Mkwaju wa Stephane Aziz Ki ila mzozo ni Goal Line Technology.

    Lakini mwisho wa siku Yanga tumekosa penati
  5. jMali

    Waasi wa M23/AFC walalamika Tanzania kumkamata kiongozi wao aitwae Eric Nkuba na kumkabidhi kwa Serikali ya DRC

    1. M23 ni Rwanda. Muungano wowote ambao M23 yupo maana yake uko chini ya Rwanda. 2. Rwanda ina destabilize Congo DRC kupitia vikundi mbali mbali ili baadae imege territory. 3. Kukamata watu na kuwarudisha makwao sio jambo geni. Tanzania imekamata wanyarwanda wengi tu na kuwarudisha kwa Kagame...
  6. jMali

    Tumetawaliwa na Mjerumani na Muingereza lkn ajabu hatujui kuzungumza lugha zote hizo

    Wakoloni huku kwetu walitumia machifu wetu katika tawala zao, hivyo tukabaki na makabila na lugha zetu za asili. Kingereza tulikikuta shuleni. Nadhani hata huyo Mrundi Kifaransa alikikuta shuleni sio kwamba wakiwa kijijini kwao anazungumza na Babu zake Kifaransa.
  7. jMali

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Asante sana sasa swali langu ni je huu mchele unahusu pia shule za Zanzibar?
  8. jMali

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Uko sahihi ila kwa sasa ningependa kujua huu mchele utagawiwa pia kwa watoto wa shule za Zanzibar?
  9. jMali

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Nina uvivu kidogo wa ku-google wizara zipi zinahusika kwenye hili sakata la mchele. Bashe Waziri wa Kilimo ameliongela lakini anasema ishu ni ya NGO (NGO ziko chini ya wizara gani vile?) zinazohusisha mashule (wizara ya Elimu). Swali langu ni jepesi tu: Watakaopewa huo mchele wenye rutuba ni...
  10. jMali

    Vyama Vya Siasa Vyasema Kusoma kwa Muswada wa Sheria ya Uchaguzi ni Ishara Nzuri

    Ukimbizi ni hadhi ya kisheria ambayo tayari inamasharti yake mengi tu ikiwamo hata ukaazi hapa nchini. Kusema kuwa kuna watu ambao ni "wakimbizi" wanaongoza vyama vya siasa naona kama ni siasa chafu tu. Kwa nini isihusike Idara ya Uhamiaji badala yake viwajibishwe vyama? Vyama vina mechanism...
  11. jMali

    Swali kwa Baraza la Madaktari na Wizara ya Afya

    Ombi: Sijapita muda mrefu hapa JF, naona jukwaa jipya la ku fact check mambo. Sasa sijui tunasubmit issues namna gani hapo, kwa sasa natumia jukwaa hili la mchanganyiko nikiomba mods kunisaidia kama hii thread yangu inaweza kuhamia kwenye jukwaa la Jamii Check. Swali langu kwa wadau wa afya...
  12. jMali

    Kagame ni kiongozi mwenye nguvu sana! Na nguvu zake kuu ni uwezo wake wa kijasusi!

    Kagame hawakilishi bahima wote. Majority ya wahima/watutsi hawampendi sema ndio hivyo amekamata nchi. Ni kama raisi aliyewahi kutokea nchi fulani hivi halafu akafia madarakani watu wakachinja mbuzi!
  13. jMali

    M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

    UN pia walitoa mapping report 2010 iliyosema watu zaidi ya milioni 6 waliuwawa DRC, mhusika mkuu akiwa Rwanda hapo unasemaje?
  14. jMali

    Urusi na maaskari wa Afrika: I smell a rat!

    Urusi iko desperate kwenye hii vita ya Ukraine. Kwa ukubwa wa Urusi na capabilities zake hii vita ilitakiwa iwe imekwisha kitambo. Putin hana huruma hata kwa raia zake wenyewe. Vijana wanalazimishwa kuwa askari na kupelekwa kinguvu front-line Ukraine, huko wananyimwa mawasiliano na ndugu zao na...
  15. jMali

    Banyamulenge ni wahanga wa Kagame

    Nipo sana tu majukumu mengi
  16. jMali

    Banyamulenge ni wahanga wa Kagame

    Interahamwe kilikuwa kikundi cha ndani ya chama tawala kama vile UVCCM huku bongo, baadhi ya wafadhili walikuwa Watutsi (kabla ya Genocide). Baada ya Genocide, Media inachoelezea ni kana kwamba Interahamwe ilianzishwa ili ichinje Watutsi tu.
  17. jMali

    Banyamulenge ni wahanga wa Kagame

    Kwa wasiojua, Banyamulenge ni watu wenye asili ya kitutsi wanaopatikana DRC kabla hata ya mipaka ya wazungu, kama ambavyo Wamasai wako Kenya na Tanzania. Tunaongelea zaidi ya miaka 200. Kagame anavyofanya fujo Africa Mashariki watu wote wenye asili ya Rwanda/Burundi wanajikuta wahanga. Hata hapa...
  18. jMali

    Ndege ya kivita ya DRC yaingia ndani ya anga la Rwanda na kutua

    Ushahidi dhidi yake kuhusu M23 ndio uliopowafikisha DRC hapo
Back
Top Bottom