Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice.

Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita Wanyakyusa lakini ukiongea nao unakuta wana asili ya kitusi ni kama mababu zao walikuja siku nyingi.

Swali ni je jamii hii ya Watusi walifikaje Mbeya?

Hasa ukizingatia mbeya haiko mpakanani na rwanda
walifika kwa usafiri wa mabasi!!
 
Mnakuza mambo. Wapo mpaka Katavi
Nchi yoyote ikiwa na instability tegemea raia wake kutapakaa nchi nyingine.
 
Sio kesi walifikaje, ishu ni kwa nini wajifiche kwenye makabila ya watu wengine wana nia gani? Kwani ni dhambi kuwa kabila lao?
Kuna dada mmoja maarufu huko anajiita Mnyakyusa ila hana kabisa "vigezo na masharti" vya wanawake wa Mbeya if you know what i'm saying. Mnyaki gani ana shepu ya Mange jamani? Wanawake wa Kinyaki wanajulikana walivyo bwana. Watu wanaiba kura na mpaka kabila. :D:D
 
Back
Top Bottom