Akili za kitoto sana hizi.Mambo ya Wa-Congoman yapaswa yaachwe kwa Wa-Congoman wenyewe, watashughulika nayo na watayamaliza wao wenyewe. Isitoshe, hayo maeneo yenye Waasi huko Congo DRC(Zaire)i hayapo ndani ya mipaka ya nchi ya Tanzania. Tusipende 'kuununua ugomvi' usiotuhusu.
Ugomvi haukuhusu vipi wakati hao waasi wakifanya juhudi za kukufanya uhusike? Huyo mtu alikuwa akifanya nini hapa; unajuwa?