Search results

  1. The Inquisitive

    Miaka >30 ijayo: ni vitu gani utasimulia kwa wanaozaliwa sasa kuhusu "Enzi Hizo"?

    Kuna thread hapa inataka utaje vitu vya enzi za zamani ambavyo unadhani vijana hawakuviona ila wamesikia tu. Yametajwa mambo mengi ya mavazi, usafiri, mambo ya kijamii n.k. Basically reminiscing about the past. Naona wengi wana kumbukumbu za kufurahisha kuhusu enzi hizo. Nikiwa nasoma hizo...
  2. The Inquisitive

    Msaada tafadhali

    Naomba mnisaidie kunitajia hoteli nzuri na reasonable rates huko Zanzibar. Nitashukuru kupata contact details za hizo sehemu. Asanteni.
  3. The Inquisitive

    Msiba Mkubwa members wa Calabash Pub

    Mmiliki wa Calabash Pub, Mazembe Nyerere amefariki jana usiku katika hospitali ya Muhimbili. Msiba uko nyumbani kwake Upanga. RIP Mazembe.
  4. The Inquisitive

    Food for thought...

    "SUMU YA NYOKA IKO NDANI YAKE, KUJIVUA GAMBA HAISAIDII." Anonymous
  5. The Inquisitive

    Unataka risiti ya TRA au risiti "ya kawaida"???

    Nilienda duka moja hapa DSM (jina nalihifadhi). Nikachagua nilivyotaka, nikauliza bei. Nikaambiwa bei inategemea kama nataka risiti ya TRA au risiti "ya kawaida". Nikauliza tofauti ya bei ya risiti ya TRA na hiyo nyingine. Muuzaji akapiga hesabu ktk calculator akanionyesha jumla ya risiti ya TRA...
  6. The Inquisitive

    10 Things to learn from Japan

    10 things to learn from Japan 1.THE CALM Not a single visual of chest-beating or wild grief. Sorrow itself has been elevated. 2. THE DIGNITY Disciplined queues for water and groceries. Not a rough word or a crude gesture. 3. THE ABILITY The incredible architects, for instance. Buildings...
  7. The Inquisitive

    Namtafuta MUSTAFA SABODO

    Wanajamvi, Kwa anayejua namna ya kuonana na huyu mzee au contacts zake nisaidieni tafadhali. Nitasubiri PM pia coz contacts are rather confidential. Ni suala genuine, utani uwekwe pembeni pls.
  8. The Inquisitive

    Kwa mliomsoma Immaculée Ilibagiza

    Majuzi nimesoma kidogo habari za huyu mwandishi wa vitabu. Ni mwanamke Mnyarwanda ambaye alipata mikasa mikubwa wakati wa genocide. Ameandika vitabu vitatu kuelezea maisha yake katika kipindi hicho. Kwa mliovisoma vitabu vyake, what is your experience? Can you recommend her books?
  9. The Inquisitive

    Nico bambaga hatunaye

    Mwanasoka wa siku nyingi aliyewahi kuchezea vilabu vya Simba na Yanga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lugalo. Source: FULL SHANGWE RIP Bambaga.
  10. The Inquisitive

    BBC Panorama: Three Fifa World Cup officials took bribes

    Three senior Fifa officials who will vote on the 2018 and 2022 World Cup bids took bribes in the 1990s, according to the BBC's Panorama. Nicolas Leoz, Issa Hayatou and Ricardo Teixeira took the money from a sport marketing firm awarded lucrative World Cup rights, the programme...
  11. The Inquisitive

    Rich Dad, Poor Dad by Richard T. Kiyosaki

    A very interesting bestseller book. Kwa mliokisoma kitabu hiki; unakubaliana na principles zilizoainishwa na Kiyosaki (especially to the African economic context)? Je, umeshaapply principles hizo na kufanikiwa?
  12. The Inquisitive

    Kambi ya JF Guests yapata pengo :)

    Nilikuwa mwanachama mkongwe wa JF guests. Leo nimejiunga rasmi na jukwaa hili la Great Thinkers. Natarajia kujifunza mengi zaidi kutoka kwenu.
Back
Top Bottom