Namtafuta MUSTAFA SABODO

The Inquisitive

Senior Member
Oct 27, 2010
177
29
Wanajamvi,

Kwa anayejua namna ya kuonana na huyu mzee au contacts zake nisaidieni tafadhali. Nitasubiri PM pia coz contacts are rather confidential.

Ni suala genuine, utani uwekwe pembeni pls.
 
Hata mie nazihitaji sema sikuwa najua kama ninaweza kizipata kupitia jamvi hili. Ukipata ni pm pia
 
mnataka mkaombe msaada? acheni kutembeza kapu nyie, fanyeni kazi kwa bidii na nyie mje mtoe kwa wenzenu.
 
Wanajamvi,

Kwa anayejua namna ya kuonana na huyu mzee au contacts zake nisaidieni tafadhali. Nitasubiri PM pia coz contacts are rather confidential.

Ni suala genuine, utani uwekwe pembeni pls.

Hata mie nazihitaji sema sikuwa najua kama ninaweza kizipata kupitia jamvi hili. Ukipata ni pm pia

Na mimi pia nitashukuru nikizipata
iNAONYSHA WOTE MNAZIHITAJI contact za mzee huyu!
Nashauri atakayekuwa nazo aziweke wazi hapa jamvini, na si kuzificha kwenye PM!....LOL!
 
nenda pale colesium ,gym yake au nenda mwenge Cinema yake ,ulizia utaambiwa ofisi yake ilipo then utamuona,huyu mzee hana noma ni mzalendo tajiri aliyabakia ktk jamii ya Wahindi/Asians.
Alishawahi kutangaza Will/Urithi wake ktk Gazeti.
Ametoa Tenda ya kuchimba visima mikoani
 
Ofisi yake ipo pale kwenye mzunguko wa Clock Tower nyuma ya zile Tax zinazopaki pale na Ipo ndani ya lile jengo linalouza vifaa vya elekroniki vya jumla vya HISENSE. Ila Email yake na namba yake ya simu uongo si kazi, hata mimi ningependa kuvijua! Serious. :wink2:
 
Asante BabaDesi, nitafuatilia. Simu na email inaonekana ni ishu. Kuna mtu kaniambia Sabodo aliwahi kumpa kadi yake lakini haikuwa na contact yoyote. He's really an enigma...
 
Sabodo na Dr Shivji wa kigoda cha mwalimu .these are the only Asians of tanzanian background i can trust.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom