Search results

  1. PongLenis

    Ni kweli Nissan X-trail zina tatizo la umeme?

    Habari zenu wana JF Najua humu nitapata jibu kamili.... Mimi napenda Sana Nissan X trial ila naambiwa kwamba Zina matatizo mfumo wa umeme, kuna wengine wanadai kuna mpya ambazo hilo tatizo wamerekebisha, kama kweli Ni kuanzia mwaka gani na je hilo tatizo la umeme nikweli au Habari ya...
  2. PongLenis

    heri ya pasaka

    nawatakia heri ya paska JF members wote
  3. PongLenis

    Dish & KU band

    wanabodi habari yenu! mimi ni mgeni kabisa katika haya maswala ya dish naomba mniweke sawa kidogo nina maswali yafuatayo katika huu ulimwengu wa FTA 1 ) what is KU Band na C band ...? 2) Je kuna dish ambazo zinadaka moja ya hizo tajwa hapo juu kwa pamoja..? 3) Je size ya dish ni muhimu ."...
  4. PongLenis

    Weixin - Bringing the Mobile IM Revolution to the Mainstream

    Weixin it is a clone of whatsapp! nakumbuka watu wanasema whatever chinese copy basi product itakuwa low quality ! but not on this one!.... kwale watu wa BBM, WhatsApp, LINE or Talkbox etcl! watakubaliana na mimi wakiona features za hii application ambayo ipo available kwa Android, iPhone...
  5. PongLenis

    hodi mara ya pili

    wadau nilipewa BAN ya miezi miwili nimerudi tena .. nipokeen!... kule jela kubaya SANA...... hakufai!
  6. PongLenis

    Utajiri wa Wahubiri Nigeria

    Wahubiri wa Nigeria wamefanikiwa katika miradi yao na kuwa na utajiri unaolinganishwa na matajiri wanaofanya biashara ya mafuta. Kwa mujibu wa muandishi wa blogu moja huko Nigeria aliyefanya utafiti wa wahubiri hawa wa neno la Mngu ameiambia BBC kuwa...
  7. PongLenis

    Siku timu ya Taifa ilipocheza vifua wazi

    Kwa kweli tumetoka mbali sana... hii ni timu ya Taifa ya miaka ya 1970's. Hapa mgeni rasmi akipeana mikono na wachezaji ilikuwa Uwanja wa Taifa.
  8. PongLenis

    Ona hii.. kuwa muangalifu na best friend

    huyu demu inaelekea hana uhakika.. achague yupi... msela kakaba penalt mshakaji wa white anapiga goli kwa fre e kick
  9. PongLenis

    Study Medicine In China

    ......................................Qingdao Medical University (QMU) Course offered Bachelor of medicine and medicine (MBBS) language - English Duration - 5.5 years The complete fee structure of Qingdao University 1.TUITION FEE- 25800RMB/YEAR = 3,974.73 USD 2.LODGING-8000RMB/YEAR =...
  10. PongLenis

    Mipasho thread

    1. Abdalla, A., 1973. Ushairi wa Kiswahili na Uhuishwe Usiuliwe Zinduko. Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu. 2. Abdallah, A., 1977. Mashairi ya Miaka Kumi ya Azimio la Arusha UKUTA, Dar es Salaam. 3. Abdallah bin Ali bin Nasir, Sayyid, 1972. Al-Inkishafi. Oxford University Press, Nairobi. 4...
  11. PongLenis

    Mgeni

    Habari zenu ... ! iam new here i hope i will make friends na pia kuchangia mawazo topic mbalimbali kwa ajili ya kusukuma gurudumu la taifa letu
Back
Top Bottom