Habari zenu ... ! iam new here i hope i will make friends na pia kuchangia mawazo topic mbalimbali kwa ajili ya kusukuma gurudumu la taifa letu
karibu lakini dah! mkuu hili jina lako mbona badili badali hizo alphabets napata NENO FLANI...:becky:
Karibu mkuu ila duh hilo jina!Maana ukizibadilisha herufi L na P tunapata kitu kingine kabisa.Lakini anyway twasubiri mawazo yako
Karibu mkuu ila duh hilo jina!Maana ukizibadilisha herufi L na P tunapata kitu kingine kabisa.Lakini anyway twasubiri mawazo yako
Ahahahaaaaaah Ukibadili herufi L na P, kwa waliosoma mambo ya wadudu ni jina la jamii ya mbung'o, labda alitaka kumaanisha hivyo.Karibu mkuu ila duh hilo jina!Maana ukizibadilisha herufi L na P tunapata kitu kingine kabisa.Lakini anyway twasubiri mawazo yako