Search results

  1. Caren

    Hukumu ya mahakama kuu kesi ya kupinga bunge la katiba ya tanganyika law society

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo mchana (17.09.2014) imetupilia mbali mapingamizi 4 (Preliminary Objections) yaliyowekwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) katika kesi ya kupinga kuendelea kwa mchakato wa Bunge la Katiba iliyofunguliwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law...
  2. Caren

    Mikopo ya Vikundi - Benki ya Wanawake Tanzania (TWB) mpaka wa Milioni Tano

    Wadau, Nimeona watu wengi katika hii subforum ya Ujasiriamali wanaulizia namna ya kupata mikopo ya kuendesha biashara zao (hasa isiyohitaji kuweka dhamana). Baada ya kuona wengi hawapati majibu sahihi nimeona nami nichangie kwa kuwaambia kuhusu mikopo ya vikundi pale Benki ya Wanawake (TWB)...
  3. Caren

    Nafasi 16 za Kazi - Benki ya Wanawake (TWB)

    Wadau kwa mara nyingine tena Benki ya Wanawake (TWB) inawatangazia nafasi za kazi. Waweza tuma kwa Posta ila pia waweza kupeleka pale mapokezi kwao. Strictly kazi hizi ni kwa watu walio experienced. Usitoe rushwa wala kuloby kwa kazi hizi. Benki hii ni ya wanyonge na kazi zaenda kwa haki...
  4. Caren

    Rais Mstaafu Mwinyi Mahakamani Kisutu

    Nimepewa taarifa na shuhuda kuwa Rais Mwinyi amefuata nyanyo za Rais Mkapa kwa kutinga mahakama ya Kisutu kutoa ushahidi. Kwa mujibu wa mtoa habari Rais Mwinyi bado yuko Kisutu maana motorcade yake bado inaonekana. Aliye karibu ajongee pale na kutujuza. Hii imefanywa kwa siri na haijatangazwa...
  5. Caren

    Head of credit - tanzania women's bank plc

    Wadau, Nimeatach nafasi ya kazi katika Tanzania Women's Bank Public Limited Company. Kazi hii haina refa wala Godfather. Ni wewe na qualifications zako tu. Lobbying of any kind kwa watu walioko TWB surely itakukosesha kazi.
  6. Caren

    Drip irrigation utilities

    Wadau, Kuna hiki kilimo cha drip irrigation amabcho kinatumia maji kidogo sana. Nani anaweza kunipa taarifa ya wapi nitaweza kuipata? Najua Mgombezi katika programu yake ya "Niwezeshe" ameiweka katika bajeti yake.
  7. Caren

    Risk officer position - tanzania women's bank limited

    Wadau, Changamkieni hii position kwa wale wanaoqualify. Muhimu kuzingatia highlight kwenye expirience. Hiyo ndio criterai yao kubwa. Nawatakia applications njema. Caren. POSITIONS ADVERTISEMENT Tanzania Women’s Bank Ltd (TWB) is a bank established under the Company Act No. 212 of 2002 for...
  8. Caren

    Kazi: System administrator - tanzania womens bank limited

    Wadau kuna kazi ya System Administator katika Benki ya Tanzania Womens Bank. Nimeatach job description. Adress ya application ni: Human Resources Officer Tanzania Women's Bank Limited P.O. Box 72604 Dar es Salaaam. Kwa matokeo ya haraka apply online kupitia: abugeraha@womensbank.co.tz Deadline...
  9. Caren

    Kazi: System administrator - tanzania womens bank limited

    Wadau kuna kazi ya System Administator katika Benki ya Tanzania Womens Bank. Nimeatach job description. Adress ya application ni: Human Resources Officer Tanzania Women's Bank Limited P.O. Box 72604 Dar es Salaaam. Kwa matokeo ya haraka apply online kupitia: abugeraha@womensbank.co.tz Deadline...
  10. Caren

    Nafasi za kazi benki ya wanawake (twb)

    Ndugu wadau wa kazi, Kuna kazi za kutosha Benki ya Wanawake. Wenye qualifications zao waombe. Link ya job description ni hii hapa:TWB TWB’s most valued asset is our team and as we grow from strength to strength in the market we operate in, we need to establish a strong foundation. We believe...
  11. Caren

    Elections 2010 Ndege za Jeshi kupita juu ya anga za DSM wiki hii ni kututisha?

    Jamani wandugu, Toka juzi hapa ofisini kwangu ndege za kijeshi za Luteni Jenerali Shimbo zinapita angani kwa kasi. Je, zina uhusiano wowote na matokeo ya uchaguzi? Je, zinataka kuthibitisha kuwa jeshi liko makini? Nimeongea na watu wa TISS kujua kama kulikuwa na scheduled military exercises...
  12. Caren

    Elections 2010 What happened to Kawe and Ubungo Results?

    Wandungu, Jana nilikuwa natazama TV nikaona Jaji Makame anataka kutangaza matokeo ya Jimbo la Ubungo halafu alipogundua kuwa ni yale yaliyochakachuliwa akaacha maana Slaa alishinda (na alipeleka ushahidi wa barua asubuhi) lakini yaliyoko tume inaonekana JK kashinda. Sasa Tume imetangaza...
  13. Caren

    Elections 2010 Mtatiro na mogendi wako live ndani ya mlimani tv

    Niko kwenye kochi nimetulia nawaangalia wagombea ubunge wa jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CHADEMA Philip Mogendi na Juliuus Mtatiro wa CUF na mgombea jimbo la Ubungo wakijadili mada ya keki ya Taifa. Hawa vijana kwa kweli wamejiandaa kuchukua majimbo yao. Wanajua mambo kwa kweli.
  14. Caren

    Kazi: Tanganyika Law Society

    Wadau, Kuna kazi zimetangazwa Tanganyika Law Society. Jaribu bahati yako.Mshahara wao si mbaya sana. See Attachment for details. Kwa wale mnaotumia internet zaidi badala ya posta mnaweza kutuma CV zenu katika email yao. Email ni info@tls.or.tz
  15. Caren

    Matatizo ya ndoa yanarithishwa?

    Ndugu wana JF nina swali na nitashukuru kama mtanipa majibu sawia maana najua wahusika watanishukuru kama nitawapa jibu sahihi maana mi nilipoelezwa na mmoja wao sikuwa na jibu. (Naomba niwe mwazi kuwa aliyenieleza ni mume kwa hiyo maelezo yako biased kiaina upande mmoja) Nina marafiki wawili...
Back
Top Bottom