Drip irrigation utilities

Caren

JF-Expert Member
Feb 12, 2010
278
91
Wadau,
Kuna hiki kilimo cha drip irrigation amabcho kinatumia maji kidogo sana. Nani anaweza kunipa taarifa ya wapi nitaweza kuipata? Najua Mgombezi katika programu yake ya "Niwezeshe" ameiweka katika bajeti yake.
 
Wasiliana na kampuni ya BALTON TANZANIA IPO ARUSHA, PIA UKIPATA FURSA TEMBELEA MASHAMBA YA MAUA ARUSHA NI VERY COMMON TECHNOLOGY, PIA USIKOSE MAONYESHO YA NANE NANE TEMI ARUSHA!!
 
Caren wasiliana na Balton Tanzania Ltd Email: balton-tanzania.com watamaliza tatizo lako mara moja.
 
Last edited by a moderator:
Wasiliana na Kilimo Service Providers Ltd 0754281399 na 0764601322 hawa ni wataalamu wamefanya kazi sehemu nyingi sana Tanzania
 
Kweli Caren, nategemea kutumia Drop Irrigation System katika mradi wangu wa kilimo cha mapapai, ambapo nategemea kutengeneza mwenye (local); nimeuliza katika duka moja hapa dodoma la vifaa vya kilimo wana hizo pipe kwa ajili ya drop irrigation; hivyo basi nitanunua tank la lita 1000 na kuunganisha mwenyewe hizi pipe kwenye kila mstari wa mche na kutoboa tundu dogo katika kila mche. Nitaweka katika post yangu hatua zote nitakapofikia, hivyo usisite kuniwezesha katika mradi wangu. Nafikiri kwa kuanza na kama ni mradi mdogo, basi unaweza kujifunza system yenyewe ilivyo na kujaribu ku-implement kwa kutumia vifaa vya kawaida; kwani huko kwenye mashamba ya maua wanatumia vifaa vya kisasa zaidi ambapo vingarimu sana, nilishawahi kuhuduria maonyesho ya vifaa vya kisasa kwa drop irrigation kwa kampuni moja kutoka Israel, kwa kweli ni gharama sana; inahitaji mradi mkubwa sana.
 
Wasiliana na kampuni ya BALTON TANZANIA IPO ARUSHA, PIA UKIPATA FURSA TEMBELEA MASHAMBA YA MAUA ARUSHA NI VERY COMMON TECHNOLOGY, PIA USIKOSE MAONYESHO YA NANE NANE TEMI ARUSHA!!

BALTON TZ LTD wana ofisi pia Mikocheni B, Coca Cola Road hapa Dar
 
BALTON TZ LTD wana ofisi pia Mikocheni B, Coca Cola Road hapa Dar. ni sahihi. System yao moja inauzwa
Tshs. 2.5m ikiwa ni pamoja na drip lines, shed net, tangi ndogo ya maji, mbegu ya kuanzia, mbolea na short training. Inachukuwa eneo, nakisia kama nusu ya robo ekari.

Unaweza kuona mfano hapo chuo cha maji on your left ukielekea chuo kikuu, (ukiingilia geti la kwanza ya kwenda chuo kikuu karibu na ubungo) Hapo wamefunga shed net moja na tayari nyanya zipo vizuri.

Hakika inapendeza. Drip irrigation inatumia gharama zaidi na unapaswa utumie hybrid seeds ambazo zinaweza kuleta mavuno makubwa zaidi.
 
QUOTE=Mgombezi;4138442]Kweli Caren, nategemea kutumia Drop Irrigation System katika mradi wangu wa kilimo cha mapapai, ambapo nategemea kutengeneza mwenye (local); nimeuliza katika duka moja hapa dodoma la vifaa vya kilimo wana hizo pipe kwa ajili ya drop irrigation; hivyo basi nitanunua tank la lita 1000 na kuunganisha mwenyewe hizi pipe kwenye kila mstari wa mche na kutoboa tundu dogo katika kila mche. Nitaweka katika post yangu hatua zote nitakapofikia, hivyo usisite kuniwezesha katika mradi wangu. Nafikiri kwa kuanza na kama ni mradi mdogo, basi unaweza kujifunza system yenyewe ilivyo na kujaribu ku-implement kwa kutumia vifaa vya kawaida; kwani huko kwenye mashamba ya maua wanatumia vifaa vya kisasa zaidi ambapo vingarimu sana, nilishawahi kuhuduria maonyesho ya vifaa vya kisasa kwa drop irrigation kwa kampuni moja kutoka Israel, kwa kweli ni gharama sana; inahitaji mradi mkubwa sana.[/QUOTE]

mkuu,ulifanikiwa katika hii project yako?nimevutiwa na huo ubunifu wako!naomba kujifunza kupitia kwako.
 
Wadau,
Kuna hiki kilimo cha drip irrigation amabcho kinatumia maji kidogo sana. Nani anaweza kunipa taarifa ya wapi nitaweza kuipata? Najua Mgombezi katika programu yake ya "Niwezeshe" ameiweka katika bajeti yake.

nimeongea juzi kwa simu na wahusika wa BALTON TANZANIA hiyo mipira ya drip irrigation wanayo.mipira inayotosha kumwagilia heka moja wanauza sh 2,500,000/=
 
Hata mimi nimependa sana kilimo kwa kupitia drip irrigation hawa balton gharama yao ya 2.5M ni system nzima ya drip irrigation au kuna gharama nyingine ambazo zinahitajika kwa vifaa vinavyohitajika?
 
nimeongea juzi kwa simu na wahusika wa BALTON TANZANIA hiyo mipira ya drip irrigation wanayo.mipira inayotosha kumwagilia heka moja wanauza sh 2,500,000/=

Mkuu labda hamkuelewana drip irrigation pipes za kutosha eka moja ni 1M hiyo bei ni ya 1 acre kit ambayo unapata hizo pipes,Tank dogo,mbegu,soil analysis na mtaalamu wa kukusimamia
 
Kweli Caren, nategemea kutumia Drop Irrigation System katika mradi wangu wa kilimo cha mapapai, ambapo nategemea kutengeneza mwenye (local); nimeuliza katika duka moja hapa dodoma la vifaa vya kilimo wana hizo pipe kwa ajili ya drop irrigation; hivyo basi nitanunua tank la lita 1000 na kuunganisha mwenyewe hizi pipe kwenye kila mstari wa mche na kutoboa tundu dogo katika kila mche. Nitaweka katika post yangu hatua zote nitakapofikia, hivyo usisite kuniwezesha katika mradi wangu. Nafikiri kwa kuanza na kama ni mradi mdogo, basi unaweza kujifunza system yenyewe ilivyo na kujaribu ku-implement kwa kutumia vifaa vya kawaida; kwani huko kwenye mashamba ya maua wanatumia vifaa vya kisasa zaidi ambapo vingarimu sana, nilishawahi kuhuduria maonyesho ya vifaa vya kisasa kwa drop irrigation kwa kampuni moja kutoka Israel, kwa kweli ni gharama sana; inahitaji mradi mkubwa sana.
Mkuu naomba kupata mrejesho toka kwako kama ulifanikiwa kwenye utengenezaji wa mfumo wa Drip irrigation wewe mwenyewe. Niombe pia utupe AOB za kuzingatia.
 
Back
Top Bottom