Search results

  1. kagulilo1

    Picha: Msaada tatizo sehemu za siri

    Imewahi kunipata nadhani Dr Restart yuko sahihi moja wapo ya sababu ni ngono isiyo salama kwangu havikuwa na maumivu yoyote vilipotea vyenyewe baada ya karibu miaka miwili ila nakushauri uende hospitali pia uache kuruka ukuta
  2. kagulilo1

    Je, wajua Airtel waliamrishwa kurejesha Tsh 1,200,000 kwa mteja aliyetapeliwa Airtel Money?

    Wafanyakazi wa mitandao wanahusika kwa zaidi ya asilimia 90 kwasababu hata ukipoteza SIM card na hukuwa na kitambulisho ukahitaji fedha iliyokuwepo kwenye SIM yako unapata ilimradi uwape posho pia ukisjili laini mpya uwakala mara nyingi unapigiwa simu kupewa maelekezo ambayo yanakuongoza kutapeliwa
  3. kagulilo1

    Wenye dhambi nzito tukutane hapa

    Aise we jamaa ulikuwa wakala wa ibilisi
  4. kagulilo1

    Dark days 17/03/20...

    I was there na nilitoka na michuzi ya kutosha ilikuwa around 2000hrs
  5. kagulilo1

    Ushauri na maoni kuhusu biashara ya kuuza mayai ya kuku wa kisasa

    Mkuu wewe unafanya hii biashara na inafanyia wapi niko mbeya nahitaji kujumuika
  6. kagulilo1

    Dark days 17/03/20...

    Does it has anything to do with Mr. General
  7. kagulilo1

    Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

    Haya mambo bhana unazungushwa unakuja kustuka umekanyaga ulipo ruka
  8. kagulilo1

    Kumbe Hayati Benjamin William Mkapa alikuwa na Phd! Mbona sijawahi sikia akiitwa Dkt. Benjamin William Mkapa?!

    halafu hata watoto wake sio wakujikweza Kama yule naibu katibu mkuu angekuwa na hulka za mungu wa daslam
  9. kagulilo1

    BOMU: Riwaya ya kipelelezi (1)

    Write your reply...Loh sitaki kuamini kwamba nimekwama kwenye foleni ya kuisubiria hii riwaya. umenikumbusha "Nitakupata tu" Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi Ibrahim Masimba
  10. kagulilo1

    Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    RIP General Lupozi
  11. kagulilo1

    Watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha kwa riba, wana riba kubwa,hawalipi kodi na hakuna sheria inayowabana

    Huwa unakopa kampuni ipi na vigezo vyao ni vipi? with thanks
  12. kagulilo1

    Watu binafsi wanaofanya biashara ya kukopesha kwa riba, wana riba kubwa,hawalipi kodi na hakuna sheria inayowabana

    Aise kama kuna mtu anayekopesha pesa kwa riba ninahitaji, napatikana Tabata barakuda
  13. kagulilo1

    Mjue Jini anaetumika zaidi katika kamari: MINOSON

    weka majina yako kamili hapo uone anavyokutumia scud natania mkuu
  14. kagulilo1

    The SPY: Series inayoonesha Jinsi Jasusi la Mossad "Eli Cohen" Lilivyowachachafa wa Syria miaka ya 60.

    kilichomponza no utumaji taarifa mfululizo huko Israel ambapo wakuu wa usalama Syria waligundua muingiliano wa mawasiliano usio wa kawaida hivyo wakafuatilia yankotokea ndipo walipo mnyaka kitu pekee familia yake ilichoambulia kutoka Syria in SAA ya mkononi
  15. kagulilo1

    Air Tanzania’s Airbus A220 suffers engine failure

    Aise makaburu washatubadilishia engine ya chombo yetu sijui wameweka ya bajaji
  16. kagulilo1

    Ushauri: Kagundua kumbe mume wake anafanywa nyuma

    Duh Fundi Emma amemtengeneza mwalimu Hadi kaelewa somo la kuchuma kisamvu
  17. kagulilo1

    Kama asemayo Tarimba Abbas ni kweli basi hii nchi tunakwama pakubwa

    Naomba nikusahihishe kidogo haikuwa homa ya DENGUE Bali ni ZIKA. Ila yote kwa yote Serikali yetu imekuwa ya kupambana na matokeo sio chanzo ndio maana kumekuwa miaka yote magonjwa ya mlipuko yaliyokosa chanjo na majanga ya asili hasa mafuriko yamekuwa yakijirudia
Back
Top Bottom